kangarooTv
New Member
- Jun 15, 2019
- 4
- 0
Baada ya draw ya jana Argentina inakuwa ya mwisho kweny group, messi anashindwa kufanya maajabu yake kabisa..
kangaroodds.blogspot.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mgeni mwalikwaInakuaje quatar inashiriki hayo mashindano?
Tunamfunga Qatar tunakuwa na point nne Paraguay ana draw na Colombia kaz inaishaBaada ya draw ya jana Argentina inakuwa ya mwisho kweny group, messi anashindwa kufanya maajabu yake kabisa..
![]()
SPORT NEWS: ARGENTINA 1-1 PARAGUAY MAKES ARGENTINA LAST IN THE GROUP
kangaroodds.blogspot.com
Yeye na Japan wamealikwa. Qatar anaanda Timu kwa ajili ya world cup ya 2022.Inakuaje quatar inashiriki hayo mashindano?
AiseeeeTofauti kati ya timu ya taifa ya Tanzania na Argentina ni Lionel Messi tu
Colombia anamwachia Paraguay,mark my wordsTunamfunga Qatar tunakuwa na point nne Paraguay ana draw na Colombia kaz inaisha
Inakuaje quatar inashiriki hayo mashindano?
Alisikika shabiki mmoja wa andinje akisema hayo. Karma ya ubaguzi Kwa Africa itawatafuna Argentina mpaka wakome.Tunamfunga Qatar tunakuwa na point nne Paraguay ana draw na Colombia kaz inaisha
Colombia anamwachia Paraguay,mark my words
Tunamfunga Qatar tunakuwa na point nne Paraguay ana draw na Colombia kaz inaisha
Argentina akishinda mechi ya Qatar atafuzu kama best loser
World cup ya 2022! Kama sio hii Afcon hata sisi Tz tungealikwa.Yeye na Japan wamealikwa. Qatar anaanda Timu kwa ajili ya world cup ya 2020