Navigator21
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 298
- 324
Duh! Aisee! Kweli wewe ni zwazwa kabisaaaa!Ona ulivyo hata kusoma hujui.
Nakusihi soma vizury.
Records za uchezaji bora kombe la dunia messi ndio anaeongoza kama hujui tena alivunja records za hawa wakuu 2014.
Kaangalie vzury net
Andunje midevu mbona jana amepwaya sana mkuu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unaongea pumba tupu,,maandishi yako yananuka kinyesi tu.
Records gani hizo messi kamzidi pele?
Duh! Aisee! Kweli wewe ni zwazwa kabisaaaa!
Messi ana tuzo moja kama pele tu,hiyo ya mchezaji bora! Sasa sijui unaongea pumba gani mzee!
Duh! Aisee! Kweli wewe ni zwazwa kabisaaaa!
Messi ana tuzo moja kama pele tu,hiyo ya mchezaji bora! Sasa sijui unaongea pumba gani mzee!
Wengine akina Fellaini au PORTUGAL?
sidhani kama inahusiana na mada labda uanzishe uzi kujadili hilo.Unaifahamu historia ya watu weusi argentina na nini kilipelekea mpaka watu weusi argentina kuwa 1% tu?
Unazungumzia Mesi au ARGENTINA!Iyo ngapi ya nini? vyote anavyo... Messi ana world cup AU copa america?
Alafu utasikia mchezaji bora wa dunia Messi Duuuuh
sidhani kama inahusiana na mada labda uanzishe uzi kujadili hilo.
mimi mbona namkubali sana Cr7 tangu akiwa chama langu la man UYote haya ni kwa sababu tu Ya MESSI. chunguza tu vizuri wanaoongelea hii issue ni mahaters/Cr7 fans.
mimi mbona namkubali sana Cr7 tangu akiwa chama langu la man U
Unazungumzia Mesi au ARGENTINA!
lakini yote haya hayaondoi ukweli kuwa Mesi na Ronaldo ni wachezaji bora ambao Dunia itawakumbuka! Hata kama timu zao za Taifa hazitambi kivile.George Weah alikuwa Bora ...huku Timu yake ya Taifa ikiwa na kiwango kama STARS YA MAKONDA!Legend ni yule anaechukua world cup bass.
Na huyo Ronaldo ana vijana wanaojua nn wafanye sio hawa mabishoo wa Kilatini.
Mo salah anajua lakin kashindwa kuibeba team yake mbovu ya misri.
Messi ingawa team mzigo kajitahidi kuilea mpk sasa.
Messi keshajiwekea World cup records vp mviziaji si anajua mbona hata golden boot kashindwa kuchukua?!
Cr7 alikua akiwika vema pindi yupo Real Madrid huku kiungo Modric akikutana na beki wa kupanda marcelo kaz imeisha yeye kupikiwa na kushinda.
Ona juventus ameelemewa mpk katolewa na kitim cha mtaani Ajax tena kwao.
lakini yote haya hayaondoi ukweli kuwa Mesi na Ronaldo ni wachezaji bora ambao Dunia itawakumbuka! Hata kama timu zao za Taifa hazitambi kivile.George Weah alikuwa Bora ...huku Timu yake ya Taifa ikiwa na kiwango kama STARS YA MAKONDA!
LionelUnazungumzia Mesi au ARGENTINA!
Unataka dakika alizocheza fainali au mechi zote?... hujui ndie captain, aanze au akae sub bado kabeba.Ukiniambia hao nitakuelewa mkuu. Ila kwa ronaldo hapana. Mtu kacheza hata 20 minutes hakumaliza halaf useme na yeye ana kombe!! Kuweni serious
Mbona hueleweki!.. huyo ronaldo nae hachezi peke yake..Wenzie wakimpasia akafunga unasema anavizia sasa unachotaka wewe ushindi wa timu au chenga za mtu mmoja?Huna ulichokiongea cha maana.
Argentins nzima inatakiwa kulaumiwa sio messi tuu kwasababu wana kasumba ya kutokucheza ki team work na ku rely kwa messi km anacheza peke ake
Huelewi inaelekea ulivushwa darasa la saba.Mbona hueleweki!.. huyo ronaldo nae hachezi peke yake..Wenzie wakimpasia akafunga unasema anavizia sasa unachotaka wewe ushindi wa timu au chenga za mtu mmoja?
Pumzisha akili yako utakuwa na kichwa kidogo kwa uelewa