Ndio maana 2018 watu walimnyima bookmarks kwa kuvizia vizia kwake wakampa modric ambaye alikuwa anaonekana mchango wake wa ukandarasi Madrid na CroatiaUnataka dakika alizocheza fainali au mechi zote?... hujui ndie captain, aanze au akae sub bado kabeba.
Bishana vitu vya msingi kama mtu mzima, huo utoto wako peleka chekechea huko.
Ah mkuu achana nao hawa.Wameshapita tayari
Ah mkuu achana nao hawa.
Na robo fainal kapewa Venezuela.
Huyu Venezuela aliyezoea kushiriki miss world kazi wanayo.
Modric alistahili ..dunia nzima ilimuona anafaa kubeba d'orNdio maana 2018 watu walimnyima bookmarks kwa kuvizia vizia kwake wakampa modric ambaye alikuwa anaonekana mchango wake wa ukandarasi Madrid na Croatia
Huelewi inaelekea ulivushwa darasa la saba.
Team ya Portugal ina chemistry nzury ndio maana wanapata nafasi ya kushirikiana na Cr7.
Argentins viungo uchwara ukimtoa messi.beki Tagliafico na otamendi tyu wengine ushuzi.
Forwards Dimaria,Aguero basi.
Hapo chemistry ya mpira iliyo madhubuti inatokea wapi?!
NDIO MAANA NIKAKWAMBIA INAFAA ILAUMIWE ARGENTINS NA SIO MESSI KWASABABU WACHEZAJI HAWA RESPOND ANACHOJARIBU KUKI GENERATE MESSI.
MFANO KAIANGALIE VZURI FINAL YA 2014.
MESSI ANATOA ASSIST KINA PALACIO WANAROCHA NA HIGUAIN.
Lo celso, paredes bado unasema hamna kitu, naamini hawa wangekua portugal halafu argentina ingekua na calvalho na danilo ungesema portugal ina viungo hatari kuliko argentina
Lo celso, paredes bado unasema hamna kitu, naamini hawa wangekua portugal halafu argentina ingekua na calvalho na danilo ungesema portugal ina viungo hatari kuliko argentina
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ni kweli mkuu wala hujakosea kabisa kazi imeisha.Tunamfunga Qatar tunakuwa na point nne Paraguay ana draw na Colombia kaz inaisha
Messilona akienda Argentina anakuwa kama kiazi mbatata bora ang'atuke arudi zake Spain[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ni kweli mkuu wala hujakosea kabisa kazi imeisha.
Smart guy
[emoji16] [emoji16] [emoji16] mkuu mkuu umenichekesha mnoMessilona akienda Argentina anakuwa kama kiazi mbatata bora ang'atuke arudi zake Spain
We mpira hata huujui na zaidi umeanza fatilia karibuni.. UNASEMA ARGENTINA HAINA CHEMISTRY NZURI KULIKO PORTUGAL??Huelewi inaelekea ulivushwa darasa la saba.
Team ya Portugal ina chemistry nzury ndio maana wanapata nafasi ya kushirikiana na Cr7.
Argentins viungo uchwara ukimtoa messi.beki Tagliafico na otamendi tyu wengine ushuzi.
Forwards Dimaria,Aguero basi.
Hapo chemistry ya mpira iliyo madhubuti inatokea wapi?!
NDIO MAANA NIKAKWAMBIA INAFAA ILAUMIWE ARGENTINS NA SIO MESSI KWASABABU WACHEZAJI HAWA RESPOND ANACHOJARIBU KUKI GENERATE MESSI.
MFANO KAIANGALIE VZURI FINAL YA 2014.
MESSI ANATOA ASSIST KINA PALACIO WANAROCHA NA HIGUAIN.
chemistry is the branch of science which deals with [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mpira hata huujui na zaidi umeanza fatilia karibuni.. UNASEMA ARGENTINA HAINA CHEMISTRY NZURI KULIKO PORTUGAL??
MKUU ACHA UZWAZWA
Psycho-pathHaya wamefanya nini hao lo celso,paredes wamefanya nn sasa km sio kuleta hasara.
Hawa si ndio waliopigwa Sita na Spain?!
Wana nn hawa?!
Kabla hujaropoka basi pima maneno kwanza
We mpira hata huujui na zaidi umeanza fatilia karibuni.. UNASEMA ARGENTINA HAINA CHEMISTRY NZURI KULIKO PORTUGAL??
MKUU ACHA UZWAZWA
BEST IN EPL
BEST IN LALIGA
BEST IN SERIE A
BEST IN PORTUGAL NATIONAL TEAM
CALL HIM THE KING KONG [emoji1474][emoji106]View attachment 1145601