Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Unataka dakika alizocheza fainali au mechi zote?... hujui ndie captain, aanze au akae sub bado kabeba.
Bishana vitu vya msingi kama mtu mzima, huo utoto wako peleka chekechea huko.
Ndio maana 2018 watu walimnyima bookmarks kwa kuvizia vizia kwake wakampa modric ambaye alikuwa anaonekana mchango wake wa ukandarasi Madrid na Croatia
 
Modric alistahili ..dunia nzima ilimuona anafaa kubeba d'or
Umekimbia hoja mkuu umegeukia d'or
 
Kwa heri argentina [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Lo celso, paredes bado unasema hamna kitu, naamini hawa wangekua portugal halafu argentina ingekua na calvalho na danilo ungesema portugal ina viungo hatari kuliko argentina
Huelewi inaelekea ulivushwa darasa la saba.
Team ya Portugal ina chemistry nzury ndio maana wanapata nafasi ya kushirikiana na Cr7.
Argentins viungo uchwara ukimtoa messi.beki Tagliafico na otamendi tyu wengine ushuzi.
Forwards Dimaria,Aguero basi.
Hapo chemistry ya mpira iliyo madhubuti inatokea wapi?!
NDIO MAANA NIKAKWAMBIA INAFAA ILAUMIWE ARGENTINS NA SIO MESSI KWASABABU WACHEZAJI HAWA RESPOND ANACHOJARIBU KUKI GENERATE MESSI.
MFANO KAIANGALIE VZURI FINAL YA 2014.
MESSI ANATOA ASSIST KINA PALACIO WANAROCHA NA HIGUAIN.
 
Hiyo ni concept yako ila ukweli unaujua
Lo celso, paredes bado unasema hamna kitu, naamini hawa wangekua portugal halafu argentina ingekua na calvalho na danilo ungesema portugal ina viungo hatari kuliko argentina
 
Haya wamefanya nini hao lo celso,paredes wamefanya nn sasa km sio kuleta hasara.
Hawa si ndio waliopigwa Sita na Spain?!
Wana nn hawa?!
Kabla hujaropoka basi pima maneno kwanza

BEST IN EPL
BEST IN LALIGA
BEST IN SERIE A
BEST IN PORTUGAL NATIONAL TEAM

CALL HIM THE KING KONG [emoji1474][emoji106]
IMG_20181125_035708_643.jpeg
 
Huelewi inaelekea ulivushwa darasa la saba.
Team ya Portugal ina chemistry nzury ndio maana wanapata nafasi ya kushirikiana na Cr7.
Argentins viungo uchwara ukimtoa messi.beki Tagliafico na otamendi tyu wengine ushuzi.
Forwards Dimaria,Aguero basi.
Hapo chemistry ya mpira iliyo madhubuti inatokea wapi?!
NDIO MAANA NIKAKWAMBIA INAFAA ILAUMIWE ARGENTINS NA SIO MESSI KWASABABU WACHEZAJI HAWA RESPOND ANACHOJARIBU KUKI GENERATE MESSI.
MFANO KAIANGALIE VZURI FINAL YA 2014.
MESSI ANATOA ASSIST KINA PALACIO WANAROCHA NA HIGUAIN.
We mpira hata huujui na zaidi umeanza fatilia karibuni.. UNASEMA ARGENTINA HAINA CHEMISTRY NZURI KULIKO PORTUGAL??
MKUU ACHA UZWAZWA
 
chemistry is the branch of science which deals with [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya wamefanya nini hao lo celso,paredes wamefanya nn sasa km sio kuleta hasara.
Hawa si ndio waliopigwa Sita na Spain?!
Wana nn hawa?!
Kabla hujaropoka basi pima maneno kwanza
Psycho-path
 
ASEE UNAELEWA NIKIZUNGUMZIA CHEMISTRY NDANI YA MPIRA NAZUNGUMZIA NN?!
ACHA UJINGA BASI KUWA MTU MZIMA.
NADHANI JANA UMETIZAMA MPIRA.PASI NYINGI ZINAZOINGIZWA KTK BOX YA BRAZIL ARGENTINS WANAKOSA USHIRIKIANO WA KUMALIZIA.
TEGEMEA HZO NAFAS ZINGEKUWA ZINATENGENEZWA PORTUGAL.

Back
Top Bottom