Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
MPIRA huwa una matokeo ya kikatili sana Chifu, hujawahiona timu inaongoza takwimu za mchezo kwa kutawala kila kitu lakini inafungwa na kufeli kupiga hatua yoyote kama ilivyokuwa Brazil vs Coretia jana[emoji848]Mpira dk 90+ kwann ishangazwe Dunia ilihali uwezo unaonekana
Kwani ajentina walichomoa?Watachomoa kama Argentina jana
Anaesubiri mshindi wa mechi hii ni England au France. Au we unaangalia mechi gani?FIFA hawaoni huu mgongano wa masilahi? Referee raia wa Argentina ambayo inasubiri mshindi wa Mechi hii.
Hawezi kasema atabaki kuwa simba damu anapisha uchaguziDuuuuh au atahamia Yanga?
Naongelea game ya KiujumlaKwani ajentina walichomoa?
England atokeeee 🤣Yaani kama mechi ya baadae zote team zangu yaani zote nashabikia
[emoji1787][emoji1787] Sawa tu nabaki na franceEngland atokeeee [emoji1787]
Sema Cristiano banaRonaldo kaingia saaa
Siiiiuuuuuu !Ronaldo kaingia saaa