Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022


Naelewa sana mkuu hizo historia

Na uhuni kama huo wa jana sio mpya kwenye soka

Mimi nimecoment tu na wala sishangai hayo kutokea

Kama ni historia mkuu mbona hujasema kuwa hio mechi ya jana ndo imevunja rekodi ya kadi za njano 18!
 
Hahaha. Hujanipoteza. Natamani England afungwe. Morocco France halali yake ila kwa England hatutoki. Ila wale waafrika wenzetu ufaransa tunawaweza. Tutapiga busha za miguu tu kina Mbappe[emoji3]
Baadae zote team zangu
 
Hii game CR7 angeanza Morocco wangelala, kocha alichemka sana kumuweka CR7 bench.
Amefanya nn alipoingia? Alikuwa anaruka ruka na kupoteza mipira.

Angepoteza poteza hivo kipindi cha kwanza kipindi lions wa atlas wana nguvu, wangefanya kaunta nyingi zaidi na kufunga zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…