Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

We utakuwa mgeni kwenye football hasa WC. Fuatilia game ya wc 2006 kati ya Netherland na Portugal round of 16 ndo utajua maana ya mpira wa kihuni, umafia na inapo lazimika una kila aina ya uchafu.

Game tu inaanza dk ya 2 Cristiano akatobolewa ugoko na akaenda benchi mazima analia. Yaani ilikuwa ni vita sio mpira maana ilikuwa unaweka kichwa mtu anakubandika njumu utosini. Ni kila dk kadhaa refa anaenda kuamua ngumi.

Imagine game yenye red card 4 na yellow kama 14 ilikuwaje halafu leo uje kuwaongelea Argentina wa catholic kabisa kwa tunaojua game za kihuni.

Nenda popote mtandaoni andika "The massacre of Nurenberg" uangalie ule ugaidi mule ndo urudi hapa kuwatetea Wa Dutch.

Naelewa sana mkuu hizo historia

Na uhuni kama huo wa jana sio mpya kwenye soka

Mimi nimecoment tu na wala sishangai hayo kutokea

Kama ni historia mkuu mbona hujasema kuwa hio mechi ya jana ndo imevunja rekodi ya kadi za njano 18!
 
Hahaha. Hujanipoteza. Natamani England afungwe. Morocco France halali yake ila kwa England hatutoki. Ila wale waafrika wenzetu ufaransa tunawaweza. Tutapiga busha za miguu tu kina Mbappe[emoji3]
Baadae zote team zangu
 
Hii game CR7 angeanza Morocco wangelala, kocha alichemka sana kumuweka CR7 bench.
Amefanya nn alipoingia? Alikuwa anaruka ruka na kupoteza mipira.

Angepoteza poteza hivo kipindi cha kwanza kipindi lions wa atlas wana nguvu, wangefanya kaunta nyingi zaidi na kufunga zaidi
 
Back
Top Bottom