New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Croatia hana Ubavu wa kumzuia Argentina kwa mpira wake WA kuvizia penaltiesMpira unadunda Messi anaweza nyenyua kwapa
Argentina to the final
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Croatia hana Ubavu wa kumzuia Argentina kwa mpira wake WA kuvizia penaltiesMpira unadunda Messi anaweza nyenyua kwapa
Hahaha. Hujanipoteza. Natamani England afungwe. Morocco France halali yake ila kwa England hatutoki. Ila wale waafrika wenzetu ufaransa tunawaweza. Tutapiga busha za miguu tu kina Mbappe😀Nimekupoteza [emoji22]
Tumejua una macho ma3😂Baby Hakim utakaa hapo wallpaper mpaka mtakapotolewaaaaaa
Lenie
Baby ake huyo hapo 😂😂😂💃View attachment 2442139
Alifata ushauri wa Ten HagHii game CR7 angeanza Morocco wangelala, kocha alichemka sana kumuweka CR7 bench.
Mbona kapewa dakika nyingi Sana na kachemka?Hii game CR7 angeanza Morocco wangelala, kocha alichemka sana kumuweka CR7 bench.
Pumbavvv kabisa na futseke zao waarabu!Kunywa maji, wenzako tulikuwa hivyo jana kwa Brazil. Machungu yamemalizwa na Morocco...
We utakuwa mgeni kwenye football hasa WC. Fuatilia game ya wc 2006 kati ya Netherland na Portugal round of 16 ndo utajua maana ya mpira wa kihuni, umafia na inapo lazimika una kila aina ya uchafu.
Game tu inaanza dk ya 2 Cristiano akatobolewa ugoko na akaenda benchi mazima analia. Yaani ilikuwa ni vita sio mpira maana ilikuwa unaweka kichwa mtu anakubandika njumu utosini. Ni kila dk kadhaa refa anaenda kuamua ngumi.
Imagine game yenye red card 4 na yellow kama 14 ilikuwaje halafu leo uje kuwaongelea Argentina wa catholic kabisa kwa tunaojua game za kihuni.
Nenda popote mtandaoni andika "The massacre of Nurenberg" uangalie ule ugaidi mule ndo urudi hapa kuwatetea Wa Dutch.
Naelewa sana mkuu hizo historiaWe utakuwa mgeni kwenye football hasa WC. Fuatilia game ya wc 2006 kati ya Netherland na Portugal round of 16 ndo utajua maana ya mpira wa kihuni, umafia na inapo lazimika una kila aina ya uchafu.
Game tu inaanza dk ya 2 Cristiano akatobolewa ugoko na akaenda benchi mazima analia. Yaani ilikuwa ni vita sio mpira maana ilikuwa unaweka kichwa mtu anakubandika njumu utosini. Ni kila dk kadhaa refa anaenda kuamua ngumi.
Imagine game yenye red card 4 na yellow kama 14 ilikuwaje halafu leo uje kuwaongelea Argentina wa catholic kabisa kwa tunaojua game za kihuni.
Nenda popote mtandaoni andika "The massacre of Nurenberg" uangalie ule ugaidi mule ndo urudi hapa kuwatetea Wa Dutch.
Sana safari hii inashuhudia maajabu tu. Nasikia Pele alitabiri Morocco inachukua kombe. Ngoja tuone, itakuwa faraja sana kwake na utabiri wake.Ni kama kuingia kwenye nyumba ya popo bawa usiku wa Giza, ukikaa vibaya umeliwa
Argentina Jana chupuchupu
Baadae zote team zanguHahaha. Hujanipoteza. Natamani England afungwe. Morocco France halali yake ila kwa England hatutoki. Ila wale waafrika wenzetu ufaransa tunawaweza. Tutapiga busha za miguu tu kina Mbappe[emoji3]
Rest in peace MOROCCO [emoji120]
Amefanya nn alipoingia? Alikuwa anaruka ruka na kupoteza mipira.Hii game CR7 angeanza Morocco wangelala, kocha alichemka sana kumuweka CR7 bench.
We subiri uoneUtawakataa. Kasoro Argentina alieponea chupuchupu favourite wote wametolewa.
Yah ni kweliFootball ipo hivo mwili ukishapata moto unafanya chochote
Hatoboi kwa wajeda wa CroatiaMessi anaenda final
We shauri yako
England hawezi toboa kwa France, dawa ya France ipo kwa Croatia hao ndio watawapiga FranceRamli chonganishi [emoji23][emoji23][emoji23]
Utambe 😂😂Kama la kwangu 😂😂😂💃
Nakupigia simu hupokei..kumbe upo Jf unajivinjari..Baby Hakim utakaa hapo wallpaper mpaka mtakapotolewaaaaaa
Lenie
Baby ake huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji126]View attachment 2442139