Next its gon be pessi out[emoji41]
Ila si umeumia kwa wakoloni wa kireno kupigwa out mama!Next available flight
Ma deportee wananielewa kwa hii kauli
Huwa unaangalia mpira? Au huwa unasikiliza TBC taifa?Nyie mnaowasifia Morocco wana mpira gani mm naona ni bahati tu ndio zinawafuata na aina ya team wanazokutana nazo hazitoi ushindani mkali.
Hawa wangekutana na uholanzi ndio wangejua hawajui.
Bas usijal mamaah ang.. Ngj nitume FFU kikosi cha kutuliza ghasia maana tunakoelekea tutaletewa fujo kubwa sana.Dah Franklin ongeza ulinzi baba
Mpaka wategua mabomu wawepo maana leo Goat [emoji238] mwingine kaaibika
Walitaka wote tuaibike
FranceYah ni kweli
Wapambanaji- morocco +croatia
Wahuni- argentina
Wababe-ni kina nani?[emoji848]
Mi nime mind sana, kocha alizingua na yaonekana palikuwa na shida kati yaoAlifata ushauri wa Ten Hag
Akajitia kiburi kumuweka jamaa bechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muda umeenda,amepanic ndo anajidai kumuingiza jamaa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Weee me nilitangaza nia mapema kabisa ya uzalendo kwanzaaa Africa firstIla si umeumia kwa wakoloni wa kireno kupigwa out mama!
We badala ulete ushahidi unatukana watu! Hapa shoga ni yupi kati yetuSibishani na wavuta bangi... mimi najitambua sili bangi Shoga wewe!
[emoji23]DahTimu zangu zote zimetoka muda wakuamia timu nyingine sasa umefika mpaka nilibebe ili.
Morocco mpaka sasa hajafungwa goli lolote
Wakikaza wanaeza beba kombe
Daah ila morroco naanza kuamini amini kuwa uwenda awa sio waAfrica.
Kama unajua mpira basi utakubaliana na mimi ya kwamba Ureno walipata uhai baada ya Christiano kuingiaDk 45 za pili alizoingia alifanya maajabu gan?
Chaaap nimeshasign inTimu france piteni hapa tuandike majina yetu tujuane. Hatutaki mamluki tukishashinda...