Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Screenshot_20221210-203502_Chrome.jpg

Screenshot_20221210-203351_Chrome.jpg

Champagnee na vibesen xxx njooni muangalie mlicho andika.Siku zote analyse mpira kwa current form na si kwa kutizama mpira.
 
Nyie mnaowasifia Morocco wana mpira gani mm naona ni bahati tu ndio zinawafuata na aina ya team wanazokutana nazo hazitoi ushindani mkali.
Hawa wangekutana na uholanzi ndio wangejua hawajui.
Huwa unaangalia mpira? Au huwa unasikiliza TBC taifa?


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Dah Franklin ongeza ulinzi baba
Mpaka wategua mabomu wawepo maana leo Goat [emoji238] mwingine kaaibika
Walitaka wote tuaibike
Bas usijal mamaah ang.. Ngj nitume FFU kikosi cha kutuliza ghasia maana tunakoelekea tutaletewa fujo kubwa sana.

Vamoooooooooos [emoji1033]
 
Nina mapenz na ufaransa pia...najua hawatatufelisha.
Japo wa Argentina wenzangu watanitaka niwaombee njaa France ili njia yetu mbele iwe nyeupeee ila mbappe na dembele siwez wasaliti. Eti nacomment negative wakat moyoni nawapenda hapana kwakweli....
Come France
Come Argentina tnou argentine comes first
 
Back
Top Bottom