Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Yote ni kufata ushauri wa Prof Ten Hag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nime mind sana, kocha alizingua na yaonekana palikuwa na shida kati yao
Wewe sasa unavuka mipaka..Fainali ni Morroco na .....
We mvaa chupi hiki ndo ninachokiongelea. Next time usije jukwaa hili na taarifa za vijiweni. Humu watu tunajielewa pimbi weweSibishani na wavuta bangi... mimi najitambua sili bangi Shoga wewe!
Mabingwa wa dunia ndo tunaenda kuchezaAmbaye hana access au kuhofia TANESCO na anataka mechi isimpite atumie hii link hapa chini kupakua app ambayo itamsaidia ku stream mechi yote
Mauaji haya tunataka tuyafanye mbele ya halaiki
App ya ku stream mpira by Chief-Mkwawa
Duh basi kazi unayoBaadae zote team zangu
Kabisa...Morocco mpaka sasa hajafungwa goli lolote
Wakikaza wanaeza beba kombe
Argentina mnataka kitonga sio? [emoji23][emoji23][emoji23]Nina mapenz na ufaransa pia...najua hawatatufelisha.
Japo wa Argentina wenzangu watanitaka niwaombee njaa France ili njia yetu mbele iwe nyeupeee ila mbappe na dembele siwez wasaliti. Eti nacomment negative wakat moyoni nawapenda hapana kwakweli....
Come France
Come Argentina tnou argentine comes first
Mpira wa mabishoo hauna nafasi.Naanza kuwa na wasiwasi na France. Timu zenye makeke mengi hazijafika mbali mf. Brazil, Portugal, USA, Hawa kina mbappe wasipojiangalia watatoka leo. Mpira hauhitaji makelele mengi bali utu na utulivu
JF hii jamani [emoji28]ANDUNJE ALISHALIA SANA hadi akastaafu soka la kimataifa
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
View attachment 2442147
NI ZAMU YAKE KUCHEKA SASA
Pole sana timu CR7.
Kama ni uzoefu angechukua brazil...tulia hivohivo na team yenu ya wakulima dawa ikuingieMpira wa mabishoo hauna nafasi.
Watu wa kazi na uzoefu ndo wanabeba kitu.