Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wenyeji Qatar wamepiga marufuku mambo kadhaa yafuatayo yasifanyike hadharani kwani ni kinyume na tamaduni zao;

Unywaji wa pombe hadharani

Mapenzi ya jinsia moja

Kupigana mabusu hadharani
Hata hapa kwetu kunywa pombe tu mambo ya ushoga NO mambo ya kupigana mabusu hadharani utaonekana kituko tu wala sio mila zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…