Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hivi kwanini Morocco wakishinda vijana wao hufanya fujo sana?

Bora Ufaransa ibebe au Croatia kuliko Argentina
 
Nilipitiwa na usingizi kabla ya mechi haijaanza, walitokaje huko jamani...

It is coming home au we are going home?
Hivi hii coming home ni nani aliwafariji na hii kauli??
Akamatwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna hatihati mpira wa Kane ndio ukatua kwao.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Morocco kazi yake hapo Qatar ni kutuchapia tu magiants.
Spain [emoji633] - kaliwa kichwa
Portugal [emoji1201] - kaliwa kichwa
France [emoji632] - nae ataliwa kichwa
Finally ni Argentina [emoji1033] vs Morocco [emoji1173]
Kina Otamendi na Akunya wakizingua kombe linakuja Africa kwa mara ya kwanza tokea kuumbwa dunia.
 
Fainali ni Argentina vs Morocco
Yaani unajaribu kupitia mitazamo ya watu,,,, wengi tuko kiushabiki+kuwachukia Morocco kwenye kivuli cha uarabu wao,,,,
Kiuhalisia Morocco wanacheza kitimu sana ndo silaha yao kubwa,,, France na nchi za ulaya mbinu wako advanced sana mda wowote wanatengeneza tukio la kuzaa goli,,,
France+++ vichwani ila kama +++ zao Morocco wakizidhibiti basi Morocco wanatinga fainali,,, sioni ugumu wa France mbele ya Morocco,,, naiona Morocco fainali pia
 
Wale haters wa Morocco mmesha hamia France au bado mnajishauri?

Niliwaambia kua Spain atakula kichapo mkabisha,akapiwa mkahamia Portugal,napo mkapaza sauti kua Morocco atatolewa na Portugal,haikutokea,Porugal nae kala kichapo kitakatifu.
Wafaransa tupo hapa, una neno lolote la utabiri ndugu mchambuzi?
 
Nawaonea huruma Argentina wakikutana na hawa Wababe wa Ufaransa.... any way any team yoyote inaweza shinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…