Tumia ID yako ya zamani kwanza maana hii unaweza kuikacha muda wowoteNarudia kwa mara ya mwisho.
Argentina wasipobeba🏆, mniite mbwa niko nimekaa pale 👉
Hapo.zipo.mbili zinazo weka makomtena goliniOndoa hiyo timu inayokaa golini kwake muda wote.
Naona unafanya meditationMashabiki wa Lionel Messi na Argentina kwa ujumla mliopo hapa DOHA QATAR
Leo andaeni lesso za kutosha coz Croatia inaenda kupeleka Msiba mwingine mkubwa America ya kusini ( Argentina)
Ile ndoto kubwa iliyokua inasubiriwa na hii generation ya kina Messi haitakaa itimie
Sent using Jamii Forums mobile app
4 kamiliLeo mechi ni saa ngapi wakuu??
Wabheja sana !4 kamili
Msukuma 😀Wabheja sana !
We are together my dear hellenTeam Croatia[emoji3531] tujuane mapema
Leo wanacheza nani na Nani??Msukuma 😀
Argentina na croatiaLeo wanacheza nani na Nani??
Santo sana.. wewe upo team gani hapo!!Argentina na croatia
Hahaha.Santo sana.. wewe upo team gani hapo!!
Wewe shabiki juu juu kumbe unaogopa!! 😁Hahaha.
sinaga timu aisee.
Napenda tu kuangalia mpira basii. Yeyote atakae lala alale tuuu 😀
Wewe najua team messi.Wewe shabiki juu kumbe!! 😁
Changua mapema tujuuueee!!
Nilijua utakua team Messi Mimi niwe Croatia lol😁!Wewe najua team messi.
basi mimi tufanye croatia leoo, tunapaki makontena tuuu mpaka messi aombe poo.
Baada ya neymar na cr7 kulia hadharani.Wewe shabiki juu juu kumbe unaogopa!! 😁
Changua mapema tujuuueee!!