Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mashabiki wa Lionel Messi na Argentina kwa ujumla mliopo hapa DOHA QATAR

Leo andaeni lesso za kutosha coz Croatia inaenda kupeleka Msiba mwingine mkubwa America ya kusini ( Argentina)

Ile ndoto kubwa iliyokua inasubiriwa na hii generation ya kina Messi haitakaa itimie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unafanya meditation
 
Nje ya topic but naomba mtu anaejua anielezee how the carabao cup/EFL works.
Naona ipo round of 16,hizo mech zingine zilichezwa lin?
And team zinazoqualify to play the carabao cup zinapatikanaje?
And league gan inafatia after carabao?
 
Back
Top Bottom