Hahaha umeshindilia msumari wa moto kwenye moyo wa ScarsShida umetolewa na nani na kivipi
Inabidi mkubali jamaa yenu kaisha ndio maana anapigwa benchi mpka huko ureno ujue ni uwezo..!
Inakuwaje mchezaji mkubwa hana team? Nyiee kweli mmekunywa maji ya bendera
Kumbe mnatupinga tu ili ku ballace mambo ila moyoni mna muadmire eehTatizo mashabiki wa Messi mna kelele sana
Ili mji utulie inatakiwa mpigwe
AwapiKumbe mnatupinga tu ili ku ballace mambo ila moyoni mna muadmire eeh
Wengi zaidi hawaelewi ureno kafikaje anzia na ile mechi ya Ghana refa kukataa kwenda kwenye var penalty za mchongo za ureno..Namna alivyofika Morrocco nusu pamoja na Argentina kila mtu haelewi wamefikaje fikaje
Ni timu ambazo kila mtu anajiuliza imekuwaje zikawa hapa zilipo
Ronaldo kukataliwa na timu zingine sio kwasababu ya kiwango ni kwasababu ya tabia
Juzi baada ya Portugal kufungwa viongozi wengi walilaumu kuwa matokeo yale yalichangiwa na swala la Ronaldo kuanzia benchi
View attachment 2444857
Hii mechi TBC wataonyesha kwa wenye azam!?Argentina na croatia
Hahahah nimependa hapo kwenye demu kukosa chura 🤣🤣🤣🤣Wengi zaidi hawaelewi ureno kafikaje anzia na ile mechi ya Ghana refa kukataa kwenda kwenye var penalty za mchongo za ureno..
Jamaa yenu analilia goli la watu..
Viongozi gani hao walikuwa wanalaumu zaidi ya wajomba zake kina figo wale ambao walianza kulaumu baada ya kufungwa na hao waarabu mbona basi zile 6 na uswisi ronaldo akiwa nje hawakulaumu?
Ameachwa sababu ya tabia mbovu na kiwango kushuka, mtu huna kiwango afu unaleta maringo
Yaani demu huna chura afu unaringa?
Nasema uongo ndugu?Hahahah nimependa hapo kwenye demu kukosa chura 🤣🤣🤣🤣
Refa kwenda kuangalia VAR sio muhimu mpaka pale tukio linapokuwa controversial zaidiWengi zaidi hawaelewi ureno kafikaje anzia na ile mechi ya Ghana refa kukataa kwenda kwenye var penalty za mchongo za ureno..
Jamaa yenu analilia goli la watu..
Viongozi gani hao walikuwa wanalaumu zaidi ya wajomba zake kina figo wale ambao walianza kulaumu baada ya kufungwa na hao waarabu mbona basi zile 6 na uswisi ronaldo akiwa nje hawakulaumu?
Ameachwa sababu ya tabia mbovu na kiwango kushuka, mtu huna kiwango afu unaleta maringo
Yaani demu huna chura afu unaringa?
Udugu umetunyanyapaa sisi flat screen 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍑🍑Nasema uongo ndugu?
Sio kutimuliwa hebu wqziaRefa kwenda kuangalia VAR sio muhimu mpaka pale tukio linapokuwa controversial zaidi
Refa anaweza fanya mawasiliano na referee waliopo kwenye control room na waokwakua wanaangalia yale matukio kupitia VAR wanaweza kumuambia kuwa tukio hilo sio faulo na yeye asiwe na haja tena ya kwenda kwenye VAR
Argentina ndio tunaweza kuizungumzia kwenye maswala ya kupendelewa, Messi kapewa penati 3 na bado yule Refer aliyekuwa anazozana naye tayari katimuliwa
Yule refa kimeo sanaRefa kwenda kuangalia VAR sio muhimu mpaka pale tukio linapokuwa controversial zaidi
Refa anaweza fanya mawasiliano na referee waliopo kwenye control room na waokwakua wanaangalia yale matukio kupitia VAR wanaweza kumuambia kuwa tukio hilo sio faulo na yeye asiwe na haja tena ya kwenda kwenye VAR
Argentina ndio tunaweza kuizungumzia kwenye maswala ya kupendelewa, Messi kapewa penati 3 na bado yule Refer aliyekuwa anazozana naye tayari katimuliwa
Mbona nasikiaga wewe chogo ndugu?Udugu umetunyanyapaa sisi flat screen 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍑🍑
So it was a logical issue halafu scars anasema amefukuzwa...anatulisha kasaSio kutimuliwa hebu wqzia
Mechi zilizobaki kama sita tu na marefa walishapangwa yeye hayupo hajapangwa sasa unabaki unafanyaje?
Alikuwa mwamuzi mbovu card 15 za njano kwenye mechi moja kweli?
Kwa yule kipa wa croatia ni utasali sala zotee [emoji16]
Me lg zile slim creen kabisaaaMbona nasikiaga wewe chogo ndugu?
Namjua sana huyu ndugu yangu katika maneno yake ni moja ndo la ukweli tu mengine 9 piga chiniSo it was a logical issue halafu scars anasema amefukuzwa...anatulisha kasa
Sababu haikuwa hiyo, hiyo ilikuwa ni kiegesho tuSio kutimuliwa hebu wqzia
Mechi zilizobaki kama sita tu na marefa walishapangwa yeye hayupo hajapangwa sasa unabaki unafanyaje?
Alikuwa mwamuzi mbovu card 15 za njano kwenye mechi moja kweli?
Tatizo mashabiki wa Messi mna kelele sana
Ili mji utulie inatakiwa mpigwe
Kumbe mzushii eehNamjua sana huyu ndugu yangu katika maneno yake ni moja ndo la ukweli tu mengine 9 piga chini
Yule mwamuzi kaanza kuchezesha hovyo kama hivi tangu kule LA liga ila hajafukuzwa