Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Namna alivyofika Morrocco nusu pamoja na Argentina kila mtu haelewi wamefikaje fikaje

Ni timu ambazo kila mtu anajiuliza imekuwaje zikawa hapa zilipo

Ronaldo kukataliwa na timu zingine sio kwasababu ya kiwango ni kwasababu ya tabia

Juzi baada ya Portugal kufungwa viongozi wengi walilaumu kuwa matokeo yale yalichangiwa na swala la Ronaldo kuanzia benchi

View attachment 2444857
Wengi zaidi hawaelewi ureno kafikaje anzia na ile mechi ya Ghana refa kukataa kwenda kwenye var penalty za mchongo za ureno..
Jamaa yenu analilia goli la watu..

Viongozi gani hao walikuwa wanalaumu zaidi ya wajomba zake kina figo wale ambao walianza kulaumu baada ya kufungwa na hao waarabu mbona basi zile 6 na uswisi ronaldo akiwa nje hawakulaumu?

Ameachwa sababu ya tabia mbovu na kiwango kushuka, mtu huna kiwango afu unaleta maringo
Yaani demu huna chura afu unaringa?
 
Hahahah nimependa hapo kwenye demu kukosa chura 🤣🤣🤣🤣
 
Wengi zaidi hawaelewi ureno kafikaje anzia na ile mechi ya Ghana refa kukataa kwenda kwenye var penalty za mchongo za ureno..
Jamaa yenu analilia goli la watu..

Viongozi gani hao walikuwa wanalaumu zaidi ya wajomba zake kina figo wale ambao walianza kulaumu baada ya kufungwa na hao waarabu mbona basi zile 6 na uswisi ronaldo akiwa nje hawakulaumu?

Ameachwa sababu ya tabia mbovu na kiwango kushuka, mtu huna kiwango afu unaleta maringo
Yaani demu huna chura afu unaringa?
Refa kwenda kuangalia VAR sio muhimu mpaka pale tukio linapokuwa controversial zaidi

Refa anaweza fanya mawasiliano na referee waliopo kwenye control room na waokwakua wanaangalia yale matukio kupitia VAR wanaweza kumuambia kuwa tukio hilo sio faulo na yeye asiwe na haja tena ya kwenda kwenye VAR

Argentina ndio tunaweza kuizungumzia kwenye maswala ya kupendelewa, Messi kapewa penati 3 na bado yule Refer aliyekuwa anazozana naye tayari katimuliwa
 
Sio kutimuliwa hebu wqzia
Mechi zilizobaki kama sita tu na marefa walishapangwa yeye hayupo hajapangwa sasa unabaki unafanyaje?

Alikuwa mwamuzi mbovu card 15 za njano kwenye mechi moja kweli?
 
Refa kwenda kuangalia VAR sio muhimu mpaka pale tukio linapokuwa controversial zaidi

Refa anaweza fanya mawasiliano na referee waliopo kwenye control room na waokwakua wanaangalia yale matukio kupitia VAR wanaweza kumuambia kuwa tukio hilo sio faulo na yeye asiwe na haja tena ya kwenda kwenye VAR

Argentina ndio tunaweza kuizungumzia kwenye maswala ya kupendelewa, Messi kapewa penati 3 na bado yule Refer aliyekuwa anazozana naye tayari katimuliwa
Yule refa kimeo sana
Alipendelea waholanzi live live
 
Back
Top Bottom