Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Hahaha umeshindilia msumari wa moto kwenye moyo wa ScarsShida umetolewa na nani na kivipi
Inabidi mkubali jamaa yenu kaisha ndio maana anapigwa benchi mpka huko ureno ujue ni uwezo..!
Inakuwaje mchezaji mkubwa hana team? Nyiee kweli mmekunywa maji ya bendera
Anakosaje team kama ni mkubwa??