Sasa England utamfananisha na Morrocco?Duh kwa jinsi waingereza walivoipeleka France sidhani kama wana ubora huo
Labda wangekuwa na Kante na Pogba
Ila hii Argentina wana Messi na wachezaj 10 wengine ndo shida inaanzia apo
Na jinsi kila mechi wanapewa penalty
Namuona Upemecano au Hernandez ( vichwa vyao havijatulia hawa watu)wakitoa penalty laini kabisa kama wakikutana fainali!
Game inaeza kuisha mapema sana
Bora Morocco watawatoa jasho kidogo
Mpira uliochezwa na Saudia ile siku hakuna team imecheza.Hvi wale Saudi Arabia kilitokea nn cku ile?
Mkuu mara hii unahamia France hata game halijaisha?Hapa aliyebaki wa kumtoa Argentina kwa sasa ni France tu, hata kama mpira una masjabu ikatokea Morrocco amepita ila sioni kama ataweza kumfunga Argentina
Team Pessi wanasumbua sana, haya yote kayataka Croatia
Refa aliimaliza mapema sana sema ngoja tuiskilizie ya kesho itakuwa na magoli mangapi kwa FranceMechi imeisha hii....
Tungoje kesho Morocco atakapoweka historia nyingine ya kutinga fainali...
Saint Anne Scars
Hapana hakosi fainaliOya hivi ile kadi ya otamendi si itamfanya akose final au?
Mechi nzito hii kwa Croatia, lakini hata kama angecheza Brazil bado asingetoboa.Umeona eeeehhh!!
Coratia hawaamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Ussshhhhuuuuunggguuuuuu [emoji24][emoji24][emoji24]
sijapoaaaaPole
Huyo France kama atapita kesho lazima ajipange hasa eneo lake la viungo wa kati hapo ana tatizo ,nadhani wana-wamiss Pogba na Kante.Hapa aliyebaki wa kumtoa Argentina kwa sasa ni France tu, hata kama mpira una masjabu ikatokea Morrocco amepita ila sioni kama ataweza kumfunga Argentina
Team Pessi wanasumbua sana, haya yote kayataka Croatia
Afadhali aseeHapana hakosi fainali
Kadi zote za njano zilifutwa robo fainali
Tabu iko palepaleAfadhali ..
Nyokoooo zakoooSio mbaya nami juzi nilifurahi, leo mkitamba itakuwa ime balance tu
Croatia ni timu dhaifu kiujumla ndiyomaana wawezaona hata alipocheza na Brazil alipita kwa bahati tu akiwa ana shot on target 1 Vs 11Mkuu mara hii unahamia France hata game halijaisha?
Mr Champions League amekuwa na mwaka mgumu sana mwaka huuWakati mwanaume ana zungusha dk 90 zote kuna mbwa wao wali muweka benchi legend wao
No way tunawashukuru kwa kushiriki wajiandae kugombea nafasi ya tatu na Moroco!!Mechi nzito hii kwa Croatia, lakini hata kama angecheza Brazil bado asingetoaboa.
Kwa kweli ni Ushungu mkubwa 😂
Niongezee na Nyokoooo yangu nyingine juuNyokoooo zakooo
Fainali tunayo hatunaaa??