Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Duh kwa jinsi waingereza walivoipeleka France sidhani kama wana ubora huo

Labda wangekuwa na Kante na Pogba

Ila hii Argentina wana Messi na wachezaj 10 wengine ndo shida inaanzia apo

Na jinsi kila mechi wanapewa penalty

Namuona Upemecano au Hernandez ( vichwa vyao havijatulia hawa watu)wakitoa penalty laini kabisa kama wakikutana fainali!

Game inaeza kuisha mapema sana

Bora Morocco watawatoa jasho kidogo
Sasa England utamfananisha na Morrocco?

Mechi ya kesho ni zamu yetu kufurahi
 
Hvi wale Saudi Arabia kilitokea nn cku ile?
Mpira uliochezwa na Saudia ile siku hakuna team imecheza.
Ile ilikuwa ni hatari...walikua kutengeneza offiside na kukimbia haswa wanakuja kama Nyuki
Watu wote wanaocheza na Argentina hawako serious...

Tuseme ukweli Argentina wamekaa kizembe ukiwaangalia kwa haraka.
 
Hapa aliyebaki wa kumtoa Argentina kwa sasa ni France tu, hata kama mpira una masjabu ikatokea Morrocco amepita ila sioni kama ataweza kumfunga Argentina

Team Pessi wanasumbua sana, haya yote kayataka Croatia
Huyo France kama atapita kesho lazima ajipange hasa eneo lake la viungo wa kati hapo ana tatizo ,nadhani wana-wamiss Pogba na Kante.
Victoire
 
Back
Top Bottom