Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Pamoja na kipaji kikubwa alichobarikiwa ila jamaa anajituma sana uwanjani.

Miaka Ile ya 2008-2012 alitunyanyasa Sana mashakibi wa Arsenal (level za Vilabu) kuwageuza mabeki zetu kadri alivyopenda
Teh teh 😂😂 hata Madrid ya kina Pepe, Ramos ilipata tabu mno.....huyu jamaa kautendea haki mpira wa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…