BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hii mechi imekua ya kutest wachezaji.. Kweli Argentina ni timu kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh 😂😂 hata Madrid ya kina Pepe, Ramos ilipata tabu mno.....huyu jamaa kautendea haki mpira wa miguu.Pamoja na kipaji kikubwa alichobarikiwa ila jamaa anajituma sana uwanjani.
Miaka Ile ya 2008-2012 alitunyanyasa Sana mashakibi wa Arsenal (level za Vilabu) kuwageuza mabeki zetu kadri alivyopenda
Croatia wameniudhi.Yaani walitunyima mtanange kati ya Brazil na Argentina bure tu.
Hii sisi tunaichukulia kama utani wa soka na sio chuki kama ambavyo mngesema endapo maneno hayo yangemlenga MessiWakati mwanaume ana zungusha dk 90 zote kuna mbwa wao wali muweka benchi legend wao
MsameheNyokoooo zakooo
Fainali tunayo hatunaaa??
Nimemsamehe maana maumivu anayopata yanamtoshaMsamehe
Kuna takataka unazitesa mkuu
Nyie shida yenu ni fainali kwasababu ndio malengo yenuNyokoooo zakooo
Fainali tunayo hatunaaa??
Tunamsubiri morocco fainali🔥Tumefunga hesabu mapema... Mungu alinde goli zetu
Kwa kweli, enzi zile tuna beki wa kuazimwa na Man utd anaitwa Sylvester,mbona Arsenal kazi tuliiona 😂Teh teh 😂😂 hata Madrid ya kina Pepe, Ramos ilipata tabu mno.....huyu jamaa kautendea haki mpira wa miguu.
na tukichukua kombe..........Nyokoooo yako nyingine hii hapa inakusubiriNyie shida yenu ni fainali kwasababu ndio malengo yenu
Sisi shida yetu ni kombe
Hamna timu inaitwa hivi wc hiiCoretia