BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mkuu mimi sina Baya,..
Watu wanapambana,..wache Crotia walegee watakula ya kutosha tu.
Keso Morocco nao kama ilivyo kawaida yetu wakaze wafanye mambo.
Ngoja tuone I guess 45 za kesho pia zitakua zishaamuaaa!!Hahaha...........nasisi Waafrika weusi ndiyo tutachambwa na wale waarabu hadi tufe 😂
Muda ni huo huo saa 4 usiku
Acha kutuchungulia Mashabiki wa Morocco.Sisi Waarabu wa Morocco tuna milima miwili ambayo sidhani kama tutaiweza hata kama mpira unadunda.. Yaani tumtoe France halafu tuje kumtoa Argentina.
Walah Kazi Tunayo kuwa Bingwa..!
YeahIt's not how you start but how you finish
Hee! Na nyie wa hivi mpo kwenye huu uzi?Ni dhambi ukiambatana na machafu.... Juzi Al Alama Salih Alfawzan amesema hata zile sijida baada ya magoli ni UZUSHI KATIKA DINI maana mpira hauna kheri yoyote ILA SHARI TU NDIYO KUBWA KULIKO FAIDA....
Kamari, Pombe, nudity, negligence of Salat, enemity, homosexuality etc
Perisic alimkaba wee kuna muda akainua mikono juu🤣Ile assist ya Messi unaweza kwenda kuombea mkopo bank
Maria.... tatizo sio mchezo wenyewe ila yanayoambata na mchezo....Ni dhambi ukiambatana na machafu.... Juzi Al Alama Salih Alfawzan amesema hata zile sijida baada ya magoli ni UZUSHI KATIKA DINI maana mpira hauna kheri yoyote ILA SHARI TU NDIYO KUBWA KULIKO FAIDA....
Kamari, Pombe, nudity, negligence of Salat, enemity, homosexuality etc
Hahaha upewe moto wa mesi na wako aIseeNasemaje
Dhambi zote za messi nazibeba mimi kudadeki
Moral of the story do not look look down on people just because they failed once in life..
.......as far as they are determined and work on nd correct their mistakes they may pick up the race and worn the tournament!
Where is Saudi Arabia today? We thank them because they are the reason for this achievement.
Perisic alimkaba wee kuna muda akainua mikono juu🤣Ile assist ya Messi unaweza kwenda kuombea mkopo bank
Nakadori bebe, najua leo furaha iko nyingi mpaka inamiminika.Hahaha upewe moto wa mesi na wako aIsee
Magoli yote ni kama kafunga Messi, wajamaa walijisahau kumkaba na kumwacha achezee mpira atakavyo. Uholanzi walimkaba watu watatu mpaka wanne mpaka akapanic. Morocco asingekubaliIle assist ya Messi unaweza kwenda kuombea mkopo bank
Wekeni na kuni haina nomaHahaha upewe moto wa mesi na wako aIsee