Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Wana project nzr sana.. Wanaweza kwa ss wasifike mbl lkn project yao imetarget zaid world cup watakayo andaa wao 2026.Usa waliamua kuwekeza kwenye football na mkoloni akiamua kitu ni full commitment
Wana project nzr sana.. Wanaweza kwa ss wasifike mbl lkn project yao imetarget zaid world cup watakayo andaa wao 2026.
Anapita kwa mruguayGhana.
Uruguay..
Portugal..
Hapa ghana anapitia wap? Uyo ronaldo ni kama nyati aliejeruhiwa
Yes mkuu wamesambaza sana watu wao ulaya kwa ss.. Wamejipanga sana.. Ndo maana wakaja na siasa ya super league pia lkn iyo ikafail Yan wanapambana juu chin na wao waingie kwny Raman ya soka.Ndio yule kocha wa leeds ameenda uingereza km sehem ya project pia
ila waafrica Kila kitu tunaamini kweny nguvu ona Leo sehemu ya kiungo Senegal walikua na koyaute,Idris gueya,Mendy lakini Netherlands dejong tu alitosha kuwafundisha mpira dogo ananyumbulika anavuotaka yeyHaizuii ukweli kuwa limendy ni takataka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmewaponza Senegal [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa Leo alikuwa Na kiwango kibovu Sana, golikipa nguli unadakaje mpira wa krosi namna Ile kama unadaka embe.MENDyv KAZINGUA GOLINI PIA MSISAHAU
Wales wametepeta mno[emoji4]Wales hawaamini kama Hawa ni USA [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza aliyeleta story za malenzi ni Nakadori kwa kesema kiwa senegalese men ni tdh bongo sie miyeyusho.mzabzab unataka kuleta mapenzi kwenye mpira jamani!
Hivi vitu huwa haviendani mapenzi tuyaache kwanza tusije tukatia nuksi kwenye timu zetu pendwa.
Mwambie kazi na dawaKwanza aliyeleta story za malenzi ni Nakadori kwa kesema kiwa senegalese men ni tdh bongo sie miyeyusho.
Wee bwana nuksi gani. Sie hatujui tuu tukubali hilo kila kitu jibu letu mipango ya mungu. Basi tukubali pia waafrica kuwa mdebwedo kwenye mpira ni mipango ya mungu.
Huwezi tenganisha mpira na kugegedana mzeya. Wee nenda kaangalie kila mwaka nchi inayoshinda kombe la dunia, miezi tisa baadae kunakuwa na bby boom🤣🤣🤣🤣
Wee subiria siku tz tunaqualify world cup lazima wadada wawe na vitumbo
Asante
Kesi wapi wakati wee ndio ulisema hayo maneno....umejisahaulishaMwambie kazi na dawa
Ila hapo hapakuwa na haja ya kunitaja mzabzab ni kama umeniuzia kesi 🤣
Hawa wapo kama qatar tuu
💃💃💃Kesi wapi wakati wee ndio ulisema hayo maneno....umejisahaulisha