Unadhani vijisenti vya FIFA vinaweza kufikia Cost / Hasara ya mfano Kevin De Bruyne angeumia ?Clubs huwa zinalipwa na FIFA according to the number of players involved in the WC competition, nadhani Man City ndio wametoa wengi
Kaeni kwa kutulia wakuu...
Watakaofika fainal, mwenye uwezo wake ndani ya uwanja dk 90 au 120 ndiyo atabeba....
Iwe kwa mikwaju ya penati au vyovyote lazima mshindi wa ndoo ya dunia lazima tumpate tu...
Hakuna haja ya kubishaana sana, tusubiri game tamu ya usiku wa leo tumpate mtabe ataemenya na mshindi wa Β½ fainali ya kwanza...
Nilishasema, kuchukia/ kubeza timu au wachezaji wa timu anayoshabikia mwenzio haitasaidia timu yako kufanya vizuri au haitazuia timu nyingine kushinda kama ina uwezo huo...
Swala ni uwezo ndani ya uwanja dk 90 au 120 na siyo kubishana kwa kuangalia rekodi za nyuma na historia pekee....
Mwisho yoyote anaefika hatua flani jua kafika kwa uwezo wake ndani ya uwanja... kazi yetu ibaki kuchek na kufurahia mpira mzuri...
Kaeni kwa kutulia wazeia, hili goma linogile....
Nitafanya hivoKama unataka Argentina ashinde inabidi Leo usapoti Morocco...
Ufaransa akipita anaweza funga Argentina
Argentina sisi tuletee yeyote..Kama unataka Argentina ashinde inabidi Leo usapoti Morocco...
Ufaransa akipita anaweza funga Argentina
We Makamba weeh unakata umeme kisa Argentina washacheza sioπArgentina sisi tuletee yeyote..
Ikiwezekana aje ufaransa na Ronaldo aongezewe kwenye hiko kikosi
Dah!
Muda bado mkuu, wanaweza wakawarudishia
Sema faida wamepata sana kifedha na connection zaidi
Sema faida wamepata sana kifedha na connection zaidi
Dah!
Roho imeniuma[emoji23]
Ukiwa huna hela,unanona kama watu wanachezea pesa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kutoboa leo ngumu kwa kweli, sitaki presha nipo ulaya leo!Waarabu tujuane hapa[emoji123][emoji123]
Hiyo presha inaweza kukupata hata huko ulaya πππKutoboa leo ngumu kwa kweli, sitaki presha nipo ulaya leo!
Leo atakutana na kitu cha tofauti
Mess bila penati si mwepesi tu