Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Kwenye faida sidhani , Uwekezaji zaidi ya dola bilioni miatatu ...Sema faida wamepata sana kifedha na connection zaidi
Mchongo tuuu,ile si penalty.
Kipa hajacheza rafu kwa makusudi pale,refa kafeli sana
Most overrated ... Kama ni mtazamo binafsi sawa.Dunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
Ngoja akabidhiwe tuzo ya mchezaji bora wa mashindano, huenda utalia kabisa....😂😂Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
Hahah wamlete simba agombanie namba na PhiriWakati huo waaargentina tukisubiri final
Kule upande mwengine rubani wa ureno ameshawashusha wachezaji kwenye klabu zao.
Ila kasoro mtu mmoja ndiye bado yupo rubani anamuuliza unaelekea team gani nikupeleke?
Siku ya NNE sasa wanazunguka tu angani.
Kwann Alvares Apewe man of the match?Dunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
Umebomolewa fasta tu halafu izo malighafi wazilete africa
Muheshimiwa hivi si uwakatie umeme Leo ili hawa wakimbizi wakose mechi lao hili Leo? Then SAA 6 unarudishaHahah wamlete simba agombanie namba na PhiriView attachment 2446875
Faida hawajapata hao....Kwenye faida sidhani , Uwekezaji zaidi ya dola bilioni miatatu ...
Labda kwenye siasa za kijiopolitiki .. nako ni labda , ngoja tutaipima after world cup kuishà..
The world is a canvas, nations are artists .. Qatar kashachora mchoro wake na Ni mchoro bora zaidi .
Ameshaandika historia ..
Hajaona kazi ya Messi janaKwann Alvares Apewe man of the match?
Miss hata tuzo zake zote 2 za Balloon D'O ni za utata.
2010 alilalamikiwa kuchukua tuzo ya aliyekuwa anastahili Iniester.
2020 pia alilalamikiwa sababu alichukua tuzo ya Lewandosky hata Messi naye alikiri hivyo [emoji23]
Miss anaandaliwa kupewa tuzo ya mchongo kwa kupewa penalty zaidi ya 5 zote, anayekataa kuwa life is not fair ajiite Taahira View attachment 2446517
Bao zote tatu messi kahusika halafu nimpe alvarez naumwa amaDunia haipo fair kabisa, Alvares jana alikua ndio Man of the Night wa timu, Cha ajabu hata kzuzungmzwa hazungumzwi.
Messi ni most overrated player ever. Nashindwa kuamini kabisa kuwa yeye ndie alitangzwa Man of The Match badala ya Alvarez .
Ngumu , ulaya ulaya tu, ngoja tuone!Hiyo presha inaweza kukupata hata huko ulaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Wafaransa weusi kwa sasa roho zipo juu juu..😂😂This time for Africa leo ndo leo Africa inawaka waka tena. Kati ya waafrica wa Morocco na waafrica wa France.