February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Hamjui mpira, mnajua kuchamba tu.Kwani ulishamaliza period we Mwajuma ndala ndefu [emoji848][emoji16][emoji2960]
Kama kuna mchezaji yeyote mwenye picha ya d'Ors hivi duniani na iletwe hapa tuanze kuwashindanisha na Messi.Messi yupo mbele anawasubiri...
Kinachowauma ni Messi kuwepo hapa ingali mwamba wao yupo nyumbani na goli lake moja huku hamna timu inayomtaka.Aaahaa Kumbe kocha ndio anachezesha mpira?
Tatizo nyie mabinti mnaomshabikia Christina Benchaldo hata mpira hamjui halafu mnajaza humu server bure
Mimi siwezi msaliti Messi hata siku moja. Na hivi huenda ikawa WC yake ya mwisho, acheni abebe kombe astaafu kwa amani our Messi 🇦🇷Sasa na jumapili sikiliza tena ushauri wake
Ndugu Kwa ubora France walionao..Wako kwenye class yao pekee yao. Hii finali itakuwa rahisi kama ya 2018. Argentina anaweza pigwa bao za kutoshaBrother, Argentina sio waarabu.
Brother, Argentina sio waarabu.
Na goli lenyewe ni la penalty😂Kinachowauma ni Messi kuwepo hapa ingali mwamba wao yupo nyumbani na goli lake moja huku hamna timu inayomtaka.
Leteni hako kababu kanakosubiri kashinde Kwa Penalt za mchongoHayo yalishapita... subirini Jumapili Messi atawanyoosha mtapotea humu jamvini kwa aibu.
Scars and 100 others Saint Anne Tate Mkuu Interlacustrine E Dream Queen
Tuzo 2 ni za mbeleko zilikuwa za Iniesta 2010 na Lewandosky 2020 Andunje bila mbeleko ni Kibu Denis aliyechangamka tu[emoji847]Messi yupo mbele anawasubiri...
He made a promise with him
Mbappe the game Changer [emoji91]Bila penati
Alivyovifanya Messi jana dogo kavifanya zaidi lakini kuko kimyaaa utafikiri dafatari la msiba linapita mbele yao
Yani umeitazama mechi ya Morocco ukaconclude kuwa wapo kwenye ubora wa peke yao? Umeitazama game kaka? Yani pale ndo France wapo kwenye ubora wao?Ndugu Kwa ubora France walionao..Wako kwenye class yao pekee yao. Hii finali itakuwa rahisi kama ya 2018. Argentina anaweza pigwa bao za kutosha
Ni tofauti,ile mechi ilikuwa haina umuhimu wowote kwa France walikuwa washaqwalifai.
Umeona France mmeshinda ila KAZI mnayo ya kumzuia Messi,Alvarez na Lautaro Martinez kama atapangwa...France wanamtegemea Mbappe akipoteana timu haina KAZI.
Messi atawavuruga sana France
Mkituomba tunaweza kuwafikiria kiutu uzima, ila mkijitia jeuri mtakutana na kipigo kile kile cha 2018Mimi siwezi msaliti Messi hata siku moja. Na hivi huenda ikawa WC yake ya mwisho, acheni abebe kombe astaafu kwa amani our Messi 🇦🇷
DahNa goli lenyewe ni la penalty[emoji23]View attachment 2447134
Dini je?Morocco hakuna mchezaji mweusi hata mmoja, umeona mchezaji yeyote mweusi toka France? Africans we are blessed, talented, issue inayoturudisha nyuma ni Siasa, Siasa, Siasa kwenye kila kitu.
Huu ni mwaka wa revenge...Wenzenu Croatia wameshakilipiaMkituomba tunaweza kuwafikiria kiutu uzima, ila mkijitia jeuri mtakutana na kipigo kile kile cha 2018
Nanii?!!Duchamp ni tactician mzuri sana. Argentina wasipokaa vizuri wanakufa
Ukiondoa hizo mbili zinabaki tano. Haya na hizo zilikuwa za wakina nani wakanyimwa?Tuzo 2 ni za mbeleko zilikuwa za Iniesta 2010 na Lewandosky 2020 Andunje bila mbeleko ni Kibu Denis aliyechangamka tu[emoji847]
Mbape ni moto sana na wewe umemuona huyu Ounahi jezi namba 8 alivyotawala duara?Mbappe the game Changer [emoji91]View attachment 2447138
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app