Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kijana Ounahi ni moto...Moja ya Talent Moja matata sana,soufian Amrabat KAZI kubwa ufundi mwingi kwenye dimba la Kati France walipoteana sana,ulikuwa vema angecheza Adrien Rabiot na Tchouamen,Morocco wameonyesha kitu kikubwa katika soka la Dunia....Mbape ni Balaa lingine akifunguka hakuna wa kumlaumu.....kilichowaua Morocco ni umaliziaji pale mbele.
Yote KWA yote fainali itakuwa tamu vita ya Messi na Mbape nani ataibuka kidedea.
 
Brother, Argentina sio waarabu.

Kinachowauma ni Messi kuwepo hapa ingali mwamba wao yupo nyumbani na goli lake moja huku hamna timu inayomtaka.
Na goli lenyewe ni la penalty😂
Screenshot_20221215_002210.jpg
 
Ndugu Kwa ubora France walionao..Wako kwenye class yao pekee yao. Hii finali itakuwa rahisi kama ya 2018. Argentina anaweza pigwa bao za kutosha
Yani umeitazama mechi ya Morocco ukaconclude kuwa wapo kwenye ubora wa peke yao? Umeitazama game kaka? Yani pale ndo France wapo kwenye ubora wao?
 
Back
Top Bottom