Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Croatia wangecheza kama Morrocco mlikuwa mnakufa

Ile penati iliwasaidia sana kuwafanga watoke mchezoni
 
Mimi nipo Qatar nasubiria j2 nikiwashe pale nichukue taji langu...... Nyie mshafika Ureno? Au mnaenda wapi? Maana hata timu ya kwenda hamna ...na hakuna timu inataka wapasha benchi saivi[emoji23]
Amka utajikojolea Mkuu

Leo ilikuwa inacheza Ufaransa.

Tupo Paris,unaongelea Ureno
Inaonyesha jinsi gani ulivyo booonge la mweeeh
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hiyu jamaa nilikuwa namuelewa sana kwa ishu ya nidhamu

Mwanzo nilipokuwa naziona hizi picha nilijua ni picha zakutengenezwa tu, lakini kumbe haikuwa hivyo

Hiki kitendo ni cha kijinga sana kulingana na ambavyo nilivyokuwa namfikiria
Ni kutafuta sababu tu na kuipata. Hujawahi kumkubali Messi. Stay in your lane brother.
 
Messi alipiga penati ambayo tayari kulikuwa na mchezaji ambaye alikuwa katanguliza mguu ndani ya box

Na kisheria ilipaswa irudiwe ila kwasababu alipata na ye ndio mchezaji pendwa haikurudiwa
 
Hiyu jamaa nilikuwa namuelewa sana kwa ishu ya nidhamu

Mwanzo nilipokuwa naziona hizi picha nilijua ni picha zakutengenezwa tu, lakini kumbe haikuwa hivyo

Hiki kitendo ni cha kijinga sana kulingana na ambavyo nilivyokuwa namfikiria
😂😂..kwani kukaa benchi ni kosa la kinidhamu au upungufu wa kiwango mkuu?
 
Kabla ya kumlinganisha na yeyote yule, tunamlinganisha na jeshi la penati. Kweli hili ni jeshi la mtu mmoja.
 
Nasema karma is real, hao kenge waliopoteza vinasaba vya weusi wenzetu nchini kwao sababu ya ubaguzi wa rangi wapigwe tu.

Good lucky France towards winning the world cup final 2022 [emoji120][emoji119][emoji123][emoji106]
 
Messi alipiga penati ambayo tayati kulikuwa na mchezaji ambaye alikuwa katanguliza mguu ndani ya box

Na kisheria ilipaswa irudiwe ila kwasababu alipata na ye ndio mchezaji pendwa haikurudiwa
Mahabuba wa Messi watapinga sababu tu ya ujinga mwingi vichwani tokana na mahaba niuwe juu ya Messi wao [emoji16][emoji2960]
 
Dah umenikumbusha mbali kipindi kile.
MSN wote wanafunga ile mbaya
Neymar unakuta ana goli 24
Suarez ana goli 43
Messi ana goli 59

Huku Madrid kina Benzema na Bale wanaweza kumchenga mpaka kipa wakabaki na neti wanaanza kumtafuta Chrisrina yuko wapi wampe tap-in
Benzema alisacrifice career yake kabisa kwasababu ya Ronaldo.

ila Mungu fundi...Ronaldo kasepa Madrid Benzema ndo kaonyesha sasa uwezo wake wa kufunga mpaka wamechukua UEFA na Ballon dor...Huko alikotangatanga Christina Ameenda kuwa bench warmer tu.
 
Nasema karma is real, hao kenge waliopoteza vinasaba vya weusi wenzetu nchini kwao sababu ya ubaguzi wa rangi wapigwe tu.

Good lucky France towards winning the world cup final 2022 [emoji120][emoji119][emoji123][emoji106]
Washabeba mara mbili. Karma iliwasahau?
 
Kabla ya kumlinganisha na yeyote yule, tunamlinganisha na jeshi la penati. Kweli hili ni jeshi la mtu mmoja.View attachment 2447147
Mbona hakuna all total matches played?

Akili zingine ni mzigo tu kwenye mafuvu ya Watu.

Messi anazidiwa zaidi ya miaka mitatu, utegemee walingane kutakwimu kwa penati na mechi walizocheza?

Labda uweke kipindi CR 7 akiwa na umri huo alikuwa na penati ngapi ukilinganisha na umri alionao Messi sasa hivi.
 
Amka utajikojolea Mkuu

Leo ilikuwa inacheza Ufaransa.

Tupo Paris,unaongelea Ureno
Inaonyesha jinsi gani ulivyo booonge la mweeeh
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂😂...Mi nawakumbusha tu mlipotoka ili mjue mnakoenda.
Maana mnajisahaulisha mlikuwa team Ureno mpaka pale Kamoroco kalivyowasambaratisha.

Leo mnashabikia Ufaransa sio kwasababu mnaipenda ufaransa.
ila ni kwasababu mnaichukia morroco kisa iliwapapasa sehemu mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…