Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Croatia wangecheza kama Morrocco mlikuwa mnakufaMtanange wa jumapili utakuwa si wa kitoto, Argentina watapambana kufa na kupona kufuta makosa ya nyuma.
France nao mabingwa watetezi hawatotaka kupoteza hilo taji.
Utakuwa mpira wa nguvu sana, maana atakayewahi kufunga tu. Amewadhoofisha timu pinzani.
Miye na moyo mdogo, panapo uzima nitakuwa nachungulia tu sitatizama full. Sina huo moyo 😪
Ile penati iliwasaidia sana kuwafanga watoke mchezoni