Sababu ni MessiArgentina ama Messi kuna kitu gani special, mpaka wabebwe?
Uzuri hatupangiani cha kupenda na hatuwezi kuwa na mitazamo sawa, mbali na hapo kama huna upeo huu basi endelea kukaza fuvu kwa hasara zako mwenyewe [emoji28]Uzuri mafanikio hayapitii kijijini kwenu ... wala chuki yenu haiamui chochote, ingekuwa hivyo basi Messi asingefika hata fainali.
Yani imagine mtu anaumia mwengine kukubalika. Aisee, watu wanatembea na mengi vifuani. [emoji16][emoji16]
Yani wewe jamaa ni special case aisee. Unatumia kichwa kama mfuniko wa shingo.Mbona hakuna all total matches played?
Akili zingine ni mzigo tu kwenye mafuvu ya Watu.
Messi anazidiwa zaidi ya miaka mitatu, utegemee walingane kutakwimu kwa penati na mechi walizocheza?
Labda uweke kipindi CR 7 akiwa na umri huo alikuwa na penati ngapi ukilinganisha na umri alionao Messi sasa hivi.
Karma huwa inajipangia muda si wewe mahaba niuwe wa Messi uilazimishe kufanya kazi yake [emoji1787]Washabeba mara mbili. Karma iliwasahau?
So Karma imeamua iwe 2022.Karma huwa inajipangia muda si wewe mahaba niuwe wa Messi uilazimishe kufanya kazi yake [emoji1787]
Ni kwasababu unamkubali na hauko tayari kuona anakosolewa hata katika yale aliyoyafanya kweli, utamtafutia sababu tu zakumtetea.Ni kutafuta sababu tu na kuipata. Hujawahi kumkubali Messi. Stay in your lane brother.
Nimei-screen shot kabisa hii sindano ili mahaba niuwe wa Messi wakijichanganya tu nawapa dozi kupitia hii hii sindano [emoji23]Sababu ni Messi
Messi aliingia kwenye mzozo na kutupiana maneno na mwamuzi lakini mwamuzi akafurumushwa virago
Penati dhidi ya Saud ilikuwa ni very soft
Hakukuwa na yellow card kwa kitendo cha Messi kuwa harrass wapinzani wake
Hakuna action yeyote Mesi na Martinez waliyopewa na Fifa pale walipokuwa wanaongea trash kuhusu marefa
Kwa maana nyingine unataka kusema, Messi yuko juu ya FIFA?Sababu ni Messi
Messi aliingia kwenye mzozo na kutupiana maneno na mwamuzi lakini mwamuzi akafurumushwa virago
Penati dhidi ya Saud ilikuwa ni very soft
Hakukuwa na yellow card kwa kitendo cha Messi kuwa harrass wapinzani wake
Hakuna action yeyote Mesi na Martinez waliyopewa na Fifa pale walipokuwa wanaongea trash kuhusu marefa
Nyingine hii, aliishika mpira na hakuna yellow aliyoipataNimei-screen shot kabisa hii sindano ili mahaba niuwe wa Messi wakijichanganya tu nawapa dozi kupitia hii hii sindano [emoji23]
Mchezaji yupi aliwahi kupewa penati 4 zote kwenye kombe la dunia tangu dunia iumbwe, au unaendelea kudhihirisha upumbavu wako hapa sababu ya mahaba niuwe kwa huyo Andunje wako [emoji848][emoji57]Yani wewe jamaa ni special case aisee. Unatumia kichwa kama mfuniko wa shingo.
Hapo ulichoomba wewe ni nini? Umeomba mambo ya miaka au umeomba idadi ya penati walizopewa hao mabwana?
The matter is, penaldo kapewa penati mzigo, hata Messi acheze milele hawezi zifikia.
Nikumbushe tukio hili Messi akipewa kadi nami nitakukumbusha siku ambayo Taifa Stars ilifika nusu fainali WCKwa maana nyingine unataka kusema, Messi yuko juu ya FIFA?
Aisee Messi ni konyo basi, kwahiyo kwa Football duniani, anaogopwa Messi, ndiyo King?
Kwasababu FIFA nzima mpaka na maafisa wake wanampenda Messi. Is it coincidence?Nyingine hii, aliishika mpira na hakuna yellow aliyoipata
content://com.android.chrome.FileProvider/images/screenshot/16710569377881413789038.jpg
Watu wanaangalia masilahi tokana na wachezaji aina ya akina CR 7 na Messi wana mikataba na kampuni nyingi sana duniani, ili kampuni ziendelee kujitangaza na kushinda soko kubwa zaidi kibiasha lazima mbeleko ziwepo, lakini zikizidi sana ndiyo huharibu ladha ya mpira kama hivi.Kwa maana nyingine unataka kusema, Messi yuko juu ya FIFA?
Aisee Messi ni konyo basi, kwahiyo kwa Football duniani, anaogopwa Messi, ndiyo King?
Kwahiyo Messi alikuwa uwanjani akaitwa njoo upige penati we panjuani?Mchezaji yupi aliwahi kupewa penati 4 zote kwenye kombe la dunia tangu dunia iumbwe, au unaendelea kudhihirisha upumbavu wako hapa sababu ya mahaba niuwe kwa huyo Andunje wako [emoji848][emoji57]
[emoji1][emoji1][emoji1] kumbe FIFA iko chini ya Messi na hawasemi.Kwa maana nyingine unataka kusema, Messi yuko juu ya FIFA?
Aisee Messi ni konyo basi, kwahiyo kwa Football duniani, anaogopwa Messi, ndiyo King?
Kwanini hawajampa mbeleko mwamba Cr 7 ili wakutane fainali? Habebeki?Watu wanaangalia masilahi tokana na wachezaji aina ya akina CR 7 na Messi wana mikataba na kampuni nyingi sana duniani, ili kampuni ziendelee kujitangaza na kushinda soko kubwa zaidi kibiasha lazima mbeleko ziwepo, lakini zikizidi sana ndiyo huharibu ladha ya mpira kama hivi.
Prolly kwasababu matukio kama hayo ni mengiKwasababu FIFA nzima mpaka na maafisa wake wanampenda Messi. Is it coincidence?
Naelewa but kwa WC hii? Argentina waliponea kwenye tundu la sindano kufungashwa virago.Watu wanaangalia masilahi tokana na wachezaji aina ya akina CR 7 na Messi wana mikataba na kampuni nyingi sana duniani, ili kampuni ziendelee kujitangaza na kushinda soko kubwa zaidi kibiasha lazima mbeleko ziwepo, lakini zikizidi sana ndiyo huharibu ladha ya mpira kama hivi.
Hapa tunakesha na mazumbukuku wa Messi lakini hawatatuelewa kamwe sababu ya upumbavu wao tu wa mahaba niuwe hadi kukataa ukweli halisi.