SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
"Haikurudiwa kwasababu alifunga."Prolly kwasababu matukio kama hayo ni mengi
Angalia hii penati tayari kulikuwa kuna mtu amezidi ndani kabla hata hajapiga lakini haikurudiwa kwasababu alifunga
View attachment 2447167
Umri ni namba, bakiza akiba za maneno tuombe Mungu atujalie afya ili tuone mazuri anayofanya CR 7 ktk umri huu atakuwa nayo Messi bebwa bebwa [emoji848][emoji1732][emoji16]Kwanini hawajampa mbeleko mwamba Cr 7 ili wakutane fainali? Habebeki?
Hapa tunakesha na mazumbukuku wa Messi
Pale ambapo mahaba yanazidi akili ni shida sana kuelimisha Mtu wa aina hiyo [emoji38]Prolly kwasababu matukio kama hayo ni mengi
Angalia hii penati tayari kulikuwa kuna mtu amezidi ndani kabla hata hajapiga lakini haikurudiwa kwasababu alifunga
View attachment 2447167
Hayo mazuri ataenda kuyafanya huko uarabuni hmaana hamna timu ya maana ulaya inataka kuharibu dressing room yao kwa kuwa na an arrogant player anayepanda kichwa cha kocha.Umri ni namba, bakiza akiba za maneno tuombe Mungu atujalie afya ili tuone mazuri anayofanya CR 7 ktk umri huu atakuwa nayo Messi bebwa bebwa [emoji848][emoji1732][emoji16]
Kwahyo hapo kosa la Messi ni nini mzee?Pale ambapo mahaba yanazidi akili ni shida sana kuelimisha Mtu wa aina hiyo [emoji38]
Sasa utajuaje ikiwa makampuni yalipendezwa kutembeza bahasha zaidi kwaajili ya Messi kuliko CR 7, ujue hata tuzo za balloon D'O 2 zote za Messi 2010 na 2020 ziliwahi kulalamikiwa na Iniesta na Lewandosky.Naelewa but kwa WC hii? Argentina waliponea kwenye tundu la sindano kufungashwa virago.
Ingekuwa hivyo na Ureno, ingebebwa nayo wacheze ma GOAT Messi na Ronaldo.
Huko nishatoka hayo ni maswali ya kujiuliza wewe"Haikurudiwa kwasababu alifunga."
Kwahiyo una uhakika kama angekosa basi ingerudiwa? Or assumption tu?
So kosa hapo ni la Messi?Huko nishatoka hayo ni maswali ya kujiuliza wewe
Kuna nyingine ile ya Paredes kuwapiga na mpira watu wa Nerthalands waliokuwepo bench ambapo ilistahili kadi nyekundu lakini refa aliuchuna
Goalkeeper akitoka ndio tatizo. Huyo jamaa kama angekuwa na madhara kwenye huo mpira ingerudiwa. Kwa hapo hakuwa na madhara yoyote.Prolly kwasababu matukio kama hayo ni mengi
Angalia hii penati tayari kulikuwa kuna mtu amezidi ndani kabla hata hajapiga lakini haikurudiwa kwasababu alifunga
View attachment 2447167
Wewe jamaa unateseka sana.πHuko nishatoka hayo ni maswali ya kujiuliza wewe
Kuna nyingine ile ya Paredes kuwapiga na mpira watu wa Nerthalands waliokuwepo bench ambapo ilistahili kadi nyekundu lakini refa aliuchuna
France wasipofunga magoli ya mbali, watajikuta magoli yanakataliwaProlly kwasababu matukio kama hayo ni mengi
Angalia hii penati tayari kulikuwa kuna mtu amezidi ndani kabla hata hajapiga lakini haikurudiwa kwasababu alifunga
View attachment 2447167
Mimi nasema tu fainali nitakaa siti ya pembeni yako, ukimshangilia andunje mimi nipo na Mbappe.π€£Sasa rasmi tunasema Morocco ya waarabu imeshindwa kwenda Final...
Itagombea mshindi wa 3.
Ingeenda final tungeendelea kusema Africa yaani tit for tat...
Pamoja na yote wameonyesha mfano, wameupiga mwingi Morocco si haba...
Bwana migunamiguna ππππHivi ndivyo ambavyo Boufal atapandishwa kwenye ndege
View attachment 2447126
Hilo hata mimi nimelieleza sehemu na hii ilishaonekana kuwa anaandaliwa kwa ajili ya kuja kufuta ufalme wa Pele maana hakuna mfalme wa Soka bila kushinda World Cup vijamaa vikaanza niita timu CR7.Hapa tunakesha na mazumbukuku wa Messi lakini hawatatuelewa kamwe sababu ya upumbavu wao tu wa mahaba niuwe hadi kukataa ukweli halisi.
I've actually believed that Messi is the programed creature by White people to give some gains the business owners profits and destroying the Goat Pele's football winning trophies and records