Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Umri ni namba, bakiza akiba za maneno tuombe Mungu atujalie afya ili tuone mazuri anayofanya CR 7 ktk umri huu atakuwa nayo Messi bebwa bebwa [emoji848][emoji1732][emoji16]
Hayo mazuri ataenda kuyafanya huko uarabuni hmaana hamna timu ya maana ulaya inataka kuharibu dressing room yao kwa kuwa na an arrogant player anayepanda kichwa cha kocha.

Na ukiona mtu anabebwa basi jua anabebeka.
 
Naelewa but kwa WC hii? Argentina waliponea kwenye tundu la sindano kufungashwa virago.
Ingekuwa hivyo na Ureno, ingebebwa nayo wacheze ma GOAT Messi na Ronaldo.
Sasa utajuaje ikiwa makampuni yalipendezwa kutembeza bahasha zaidi kwaajili ya Messi kuliko CR 7, ujue hata tuzo za balloon D'O 2 zote za Messi 2010 na 2020 ziliwahi kulalamikiwa na Iniesta na Lewandosky.

Lini CR 7 alilalamikiwa kuhusu tuzo zake za uchezeji bora wa dunia?

Kama hapa bado tena hujanielewa basi amini unavyoamini nami niamini ninavyoamini [emoji119][emoji124][emoji3526][emoji87]
 
"Haikurudiwa kwasababu alifunga."

Kwahiyo una uhakika kama angekosa basi ingerudiwa? Or assumption tu?
Huko nishatoka hayo ni maswali ya kujiuliza wewe

Kuna nyingine ile ya Paredes kuwapiga na mpira watu wa Nerthalands waliokuwepo bench ambapo ilistahili kadi nyekundu lakini refa aliuchuna
 
Huko nishatoka hayo ni maswali ya kujiuliza wewe

Kuna nyingine ile ya Paredes kuwapiga na mpira watu wa Nerthalands waliokuwepo bench ambapo ilistahili kadi nyekundu lakini refa aliuchuna
So kosa hapo ni la Messi?
 
Prolly kwasababu matukio kama hayo ni mengi

Angalia hii penati tayari kulikuwa kuna mtu amezidi ndani kabla hata hajapiga lakini haikurudiwa kwasababu alifunga

View attachment 2447167
Goalkeeper akitoka ndio tatizo. Huyo jamaa kama angekuwa na madhara kwenye huo mpira ingerudiwa. Kwa hapo hakuwa na madhara yoyote.
 
Sasa rasmi tunasema Morocco ya waarabu imeshindwa kwenda Final...
Itagombea mshindi wa 3.
Ingeenda final tungeendelea kusema Africa yaani tit for tat...
Pamoja na yote wameonyesha mfano, wameupiga mwingi Morocco si haba...
Mimi nasema tu fainali nitakaa siti ya pembeni yako, ukimshangilia andunje mimi nipo na Mbappe.🤣
 
Hapa tunakesha na mazumbukuku wa Messi lakini hawatatuelewa kamwe sababu ya upumbavu wao tu wa mahaba niuwe hadi kukataa ukweli halisi.

I've actually believed that Messi is the programed creature by White people to give some gains the business owners profits and destroying the Goat Pele's football winning trophies and records
Hilo hata mimi nimelieleza sehemu na hii ilishaonekana kuwa anaandaliwa kwa ajili ya kuja kufuta ufalme wa Pele maana hakuna mfalme wa Soka bila kushinda World Cup vijamaa vikaanza niita timu CR7.
 
Back
Top Bottom