Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mechi ya Derby huko Zambia kati ya Zesco na Rangers ilisimama kwa dakika 30
 
Tarehe 18 Dec 2022

Messi vs Mbape

Kuna mabishano yameanza muda mrefu kwenye hili jukwaa kwamba Mbape hawezi mfikia Messi, Mbape hawezi vunja rekodi za Messi, mara kumfananisha Mbape na Messi ni hujuma dhidi ya football. Sasa tarehe 18 Dec ndio mwisho wa fitina, mimi natangaza waziwazi niko upande wa wanyamwezi wenzangu
 
Wamatumbi hureeeee
Mbappe na Dembele ni wanyakyusa wale kabisa 🥂🔥🔥
 
Wambie timu Messi wakupe hiyo rekodi afu tunakaa tunabishana kweli
2014/15 ndio msimu Messi kafunga goli nyingi kwa msimu mmoja na kafunga goli 70 hivi kwa mashindano yote. Ligi kafunga 43, UEFA 10 na mashindano mashindano mengine yaliyobaki.
 
Uzuri wako bana, kila bebez unayoishabikia lazima iondolewe!
Whatever 😂😂😂

Ila ni France kindaki
Wether we'll loose/win

I was in Braz kindaki..
Morroco nilikuwepo 7bu ya H. Zayech
 
Uzuri mafanikio hayapitii kijijini kwenu ... wala chuki yenu haiamui chochote, ingekuwa hivyo basi Messi asingefika hata fainali.

Yani imagine mtu anaumia mwengine kukubalika. Aisee, watu wanatembea na mengi vifuani. [emoji16][emoji16]

Walisema Argentina havuki makundi licha ya kufungwa lkn kaongoza kundi, wakasema havuki 16th kavuka, wakaja quarter Argentina akavuka wakaja semi kapita. Sahivi wamekuja na slogan yao kwamba Argentina anabebwa unabaki unajiuliza kama anabebwa mbona game ya Saudia alifungwa na goli 3 zilikataliwa?? Mechi na Netherland ziliongezwa dk10 ambayo ilizaa goli la2 kwa Netherlands kama anabebwa si wangeongeza dk3 tu??.

Hawa ndo mashabiki wa JF wamekosa hoja wanaleta vihoja wengi humu wapiga kelele ni mashabiki wa Brazil, Portugal wanamwombea njaa Messi wanahangaika sana mara huku mara kule, mtu kashabikia Saudia, Mexico, Poland, Australia, Netherlands, Croatia now wako France [emoji23][emoji23][emoji119].

Mpira ungekuaga maneno Brazili, Portugal, Spain wangekua Final. Hawa wanaopiga kelele ndo wale waliokua wanasema Brazil atakua bingwa. Jumapili huu uzi kuna watu wataukimbia asee na hatutaona ID zao tena.
 
Mkuu hio paragraph ya kwanza tu umemaliza! Hawa watazamaji wa mpira wa LIVESCORE wala hutakiwi kuwaeleza sana kuna msemo unasema" Arguing with a fool is the easiest way to become one".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…