Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He he he.....Messi na Argentina yake wanawekwa kimoja tu cha mkwezi na watatulia. Ufaransa nadhani itakuwa timu ya kwanza kuchukua WC back to back!
Weka Kumbukumbu vizuri kaka, Pelé ashafanya ayo mamboMessi na Argentina yake wanawekwa kimoja tu cha mkwezi na watatulia. Ufaransa nadhani itakuwa timu ya kwanza kuchukua WC back to back!
Wamatumbi hureeeeeTarehe 18 Dec 2022
Messi vs Mbape
Kuna mabishano yameanza muda mrefu kwenye hili jukwaa kwamba Mbape hawezi mfikia Messi, Mbape hawezi vunja rekodi za Messi, marta kumfananisha Mbape na Messi ni hujuma dhidi ya football. Sasa tarehe 18 Dec ndio mwisho wa fitina, mimi natangaza waziwazi niko upande wa wanyamwezi wenzangu
Uzuri wako bana, kila bebez unayoishabikia lazima iondolewe!Wamatumbi hureeeee
Mbappe na Dembele ni wakyusa wale kabisa [emoji1635][emoji91][emoji91]
2014/15 ndio msimu Messi kafunga goli nyingi kwa msimu mmoja na kafunga goli 70 hivi kwa mashindano yote. Ligi kafunga 43, UEFA 10 na mashindano mashindano mengine yaliyobaki.Wambie timu Messi wakupe hiyo rekodi afu tunakaa tunabishana kweli
Whatever 😂😂😂Uzuri wako bana, kila bebez unayoishabikia lazima iondolewe!
Argentina tunawasubiri tuwapasue kama ngomaLes Blues ndio tunaamkaaa
Sitapendaaaaa 💔Argentina tunawasubiri tuwapasue kama ngoma
Itabidi upende tu maana Messi ana jambo lakeSitapendaaaaa [emoji174]
Ila ndo itakuwa ishakuwa
Uzuri mafanikio hayapitii kijijini kwenu ... wala chuki yenu haiamui chochote, ingekuwa hivyo basi Messi asingefika hata fainali.
Yani imagine mtu anaumia mwengine kukubalika. Aisee, watu wanatembea na mengi vifuani. [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]...Mi nawakumbusha tu mlipotoka ili mjue mnakoenda.
Maana mnajisahaulisha mlikuwa team Ureno mpaka pale Kamoroco kalivyowasambaratisha.
Leo mnashabikia Ufaransa sio kwasababu mnaipenda ufaransa.
ila ni kwasababu mnaichukia morroco kisa iliwapapasa sehemu mbaya.
Khaaaa🤣🤣He he he.....
"You either win with US or you watch US win....
[emoji1033] for life Brw!!!!
Mkuu hio paragraph ya kwanza tu umemaliza! Hawa watazamaji wa mpira wa LIVESCORE wala hutakiwi kuwaeleza sana kuna msemo unasema" Arguing with a fool is the easiest way to become one".Walisema Argentina havuki makundi licha ya kufungwa lkn kaongoza kundi, wakasema havuki 16th kavuka, wakaja quarter Argentina akavuka wakaja semi kapita. Sahivi wamekuja na slogan yao kwamba Argentina anabebwa unabaki unajiuliza kama anabebwa mbona game ya Saudia alifungwa na goli 3 zilikataliwa?? Mechi na Netherland ziliongezwa dk10 ambayo ilizaa goli la2 kwa Netherlands kama anabebwa si wangeongeza dk3 tu??.
Hawa ndo mashabiki wa JF wamekosa hoja wanaleta vihoja wengi humu wapiga kelele ni mashabiki wa Brazil, Portugal wanamwombea njaa Messi wanahangaika sana mara huku mara kule, mtu kashabikia Saudia, Mexico, Poland, Australia, Netherlands, Croatia now wako France [emoji23][emoji23][emoji119].
Mpira ungekuaga maneno Brazili, Portugal, Spain wangekua Final. Hawa wanaopiga kelele ndo wale waliokua wanasema Brazil atakua bingwa. Jumapili huu uzi kuna watu wataukimbia asee na hatutaona ID zao tena.