Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yani chuki ni kubwa sana na ndo maana kutokea ile mechi ya saudi Mungu akapindua meza.
Jumapili kuna watu watapoteana hapa na tekno zao
 
Watakimbia kwelii
Wanaongea utopolo tuu
Mara kubebwa
Mara mbappe atamkimbiza Messi as if muda huo huyo Messi yeye atakuwa amesimama tu
Ngoja waendelee kuhama team sijui jumapili wakifungwa watahamia team gani
 
France hatuna muda wa kubwabwaja.
Kubwabwaja sana domo ni Sifa za watu wafupi



Sisi kazi yetu iliyobakia ni Moja tu!
Kunyanyua kwapa.

France,Bingwa Mtetezi na Mteule[emoji91]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Napigia mstari hapo kwa watazamaji wa livescore. Ni wasumbufu sana
Mkuu hio paragraph ya kwanza tu umemaliza! Hawa watazamaji wa mpira wa LIVESCORE wala hutakiwi kuwaeleza sana kuna msemo unasema" Arguing with a fool is the easiest way to become one".
 
Messi na Argentina yake wanawekwa kimoja tu cha mkwezi na watatulia. Ufaransa nadhani itakuwa timu ya kwanza kuchukua WC back to back!
Brazil tayari alishachukua back to back wakiwa na Pele labda kwa karne hii France watakuwa wa kwanza
 
πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦
It is coming homeeeeee
Argentines tujuaneeeeee mapemaaaaa
Maana tuna kikao chetu cha kuwaangamiza team Ronaldo a.k.a team looser
Mbappe nakupenda sana na wewe unajua a muda umefika lazima mafuta na maji vitengane
Vamosssssssss
 
Mimi sina maneno mengi
Kwa uchache tu ,huyu ni Muft Ustadh Benzema.
Ni hayo tu.


Wale viberenge tuangalie tu wasije leta mafuriko ya machozi kwenye ardhi ya Mola.
J2 ,na vile watu wafupi walianza kulia huwa hawanyamazi haraka.




Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…