Sasa wakibeba Argentina u afikiri hali itakuwaje kama tu kufika semi final naskia huko Argentina walikuwa wanapeperusha jezi ya Messi kwenye holicopterUliangalia lile vibe la France 2018 kuanzia wanavyobeba kombe uwanjani, hadi kule changing room walivyokuwa na president wao mpaka wanavyoingia kwenye ndege kurudi kwao, asee sidhani kama kuna nchi itakuja shangilia WC kama walivoshangilia France that year
Messi bana hua kuna kitu ananifurahisha. Kuna mambo yanaweza kutokea watu wakamsema we naona sijui hua anawasikia, ghafla utaona anatafuta mpira akiupata lazima asombe kijiji mita kadhaa hadi kwenye 18 yaoSasa hizi Messi si ameshazifanya mara kibao tu...Tumemzoea
Amewaachia Wavulana[emoji28]
Siko upande wenu huo...Ukipenda wimbo unatakiwa upende na France akichukua kombe
Wimbo na kombe ni vitu vinavyoenda sambamba
Ukisema unapenda wimbo halafu hupendi kuona France anabeba ndoo ni sawa na kusema dagaa huli ila unapenda tu mchuzi wake.
Karibu hiyo jumapili ushuhudie France tukichukua ndoo yetu back to back
Mimi nilikuwa Croatia[emoji28]Yeah kwa kweli 2018 hata mimi nilikuwa upande wa France tangia mwanzo, na nilikuwa nafuatilia clips zao zote zilizosambaa wakiwa wanashangilia kombe basi hadi raha, ila mwaka huu wakishinda tena naona kama itaboa
Aisee mbona we una bahati mbaya hivyo kushangilia timu ambazo hazichukui ubingwa?Siko upande wenu huo...
Hata 2018 nilikuwa Croatia....
Nawapenda sababu wana Vibe..
Ila WC hii.....Maombi yangu yapo na Messi....
Messi ni habari nyingine yule kiumbe...Messi bana hua kuna kitu ananifurahisha. Kuna mambo yanaweza kutokea watu wakamsema we naona sijui hua anawasikia, ghafla utaona anatafuta mpira akiupata lazima asombe kijiji mita kadhaa hadi kwenye 18 yao
Round hii tutamuimbia Mbappe najua utapenda piaMimi nilikuwa Croatia[emoji28]
Nilipenda tu walivyomuimbia Kantè ule wimbo...
Kabla sijaanza kuscream nikaumbuka naomba source[emoji2]. Mana kila saa naenda kuchungulia kwa fabrizio sjaona kaliongelea hili popoteMimi sina maneno mengi
Kwa uchache tu ,huyu ni Muft Ustadh Benzema.
Ni hayo tu.
Wale viberenge tuangalie tu wasije leta mafuriko ya machozi kwenye ardhi ya Mola.
J2 ,na vile watu wafupi walianza kulia huwa hawanyamazi haraka.
View attachment 2447375
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mnamkuza tuMessi ni habari nyingine yule kiumbe...
Na ile humbleness ako nayo watu wanataka kumlinganisha na vitu visivyoeleweka.
Sasa yeye hakutaka kuukana utaifa wake, aliomba kuchezea Cameroon akakataliwa alipoomba kuchezea France ndio akakubaliwa, anyway nafikiri hata Yeye sasa hivi atakuwa anashukuru Cameroon walimkataliaSasa angechezea Cameroon angefika hata 16 bora, kuna wakati inabidi mtu uukane utaifa wako ili upate kinachostahili. Huyu dogo ana nafasi ya kuwa mfungaji bora, anaweza kuchukua kombe la dunia kitu ambacho angekuwa huko Cameroon ingekuwa ndoto tu
Tutaenda kulishangilia mweziniiiSasa wakibeba Argentina u afikiri hali itakuwaje kama tu kufika semi final naskia huko Argentina walikuwa wanapeperusha jezi ya Messi kwenye holicopter
Wakichukua kombe unafikiri huko angani kutakuwaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee mbona we una bahati mbaya hivyo kushangilia timu ambazo hazichukui ubingwa?
Messi muombee amalize mechi salama tu bila majeraha pia na kumuomba Mungu amtie moyo katika kipindi kigumu atachokuwa anapitia
Round hii itakuwa ngumu....Round hii tutamuimbia Mbappe najua utapenda pia
Amen amen amenSiko upande wenu huo...
Hata 2018 nilikuwa Croatia....
Nawapenda sababu wana Vibe..
Ila WC hii.....Maombi yangu yapo na Messi....
Hii kitu ndio hatutaki itokeeTutaenda kulishangilia mweziniii
Haha sasa mkuu kuna Mtu bingwa wa kuwagalagaza mabeki kama MessiTeam Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??
Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu
Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie
Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira
View attachment 2447431
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnamkuza tu
Nyie mashabiki wa Messi mnachonga sana
Amina kubwaa....Amen amen amen
Tulianza na Mungu tunatembea ma Mungu tutamaliza na Mungu. Wenye nia njema wote mseme amen
Kwa hiyo hicho kinachoonekana pichani hapo ni kitu normal?Haha sasa mkuu kuna Mtu bingwa wa kuwagalagaza mabeki kama Messi