Messi ni magicianMessi bana hua kuna kitu ananifurahisha. Kuna mambo yanaweza kutokea watu wakamsema we naona sijui hua anawasikia, ghafla utaona anatafuta mpira akiupata lazima asombe kijiji mita kadhaa hadi kwenye 18 yao
Na ndo itatokea sassHii kitu ndio hatutaki itokee
Messi na Mbappe conclusion ikawaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa....
Mmemaliza kumfananisha Messi na Ronaldo then mkajipa Conclusion wenyewe....
Then mmeamia Messi na Mbappe....
Mtu mmoja huyo huyo? Dah!!!
Final tutapeana majibu....Messi na Mbappe conclusion ikawaje?
Acha muda uamueNa ndo itatokea sass
Andaa saikolojia yako
Muda ndo msema kweliAcha muda uamue
Lakini mpaka saizi mchezaji wenu kapigwa upper cut zakutoshaFinal tutapeana majibu....
Si mbali[emoji28]
Saizi waarabu wote mtaani wanaitwa wamorocco. Nimesikia mmoja anasema "dah nimetoka kuangalia gari langu kwa mmorocco pale nakuta mfuniko wa rejeta haupo"Jana ilikuwa ngumu Sana kwangu 😂😂
Ninawapongeza Sana Morocco kuwa taifa la kwanza kutoka Africa kufika hatua ya nusu fainali.
Wenu muarabu mweusi kutoka mpitimbi 😂😂😂😂
Tuko pamoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hawa ufaransa nawaombea wafungwe za kutosha na Argentina...
Scars....Lakini mpaka saizi mchezaji wenu kapigwa upper cut zakutosha
Kinachomfanya Mbappe asiwe gumzo ni kukosa promo
Naamini wakisema wa switch yani alivyovifanya Messi kwenye hii michuano viende kwa Mbappe na alivyovifanya Mbappe viende kwa Messi, hakuna namna ambayo Mbappe angejadiliwa katika mtazamo wa ubora zaidi ya ngekewa
Chezea wacameroon wewe.Aseee mbappe kajaaliwa bana[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Team Messi wanokooTeam Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??
Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu
Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie
Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira
View attachment 2447431
Hakuomba kuchezea France. Sema ubora wake ulimfanya kuitwa kwenye team ya Taifa ya Ufaransa. Kule Cameroun aliomba wakamwambia baba yake atoe hela.Sasa yeye hakutaka kuukana utaifa wake, aliomba kuchezea Cameroon akakataliwa alipoomba kuchezea France ndio akakubaliwa, anyway nafikiri hata Yeye sasa hivi atakuwa anashukuru Cameroon walimkatalia
Mkuu tunasema kila siku hapa acheni kuangalia mpira lIVESCORE! Hatukatai Mbappe kafanya vizur hii World cup!.Ila unapokuja kuleta ulinganisho wake na MESSI tunakuona huna akili!, na hutazami mpira. Hivi interms of performance Mbappe kamzidi nini Messi? Unajua mpaka sasa Messi ana Man of the match(MOTM) 4 kati ya hizo 3 kapata kwenye Knock out stages? na mind you angekua nazo 5 mpaka sasa kwa sababu ile ya Poland aliamua mwenyewe kumpa Mac allister. Mpaka sasa Mbappe ana MOTM mbili(2) tu,alafu unakuja kumlinganisha na Messi.Ok niambie Mbappe kamzidi nini Messi mpaka sasa toka tournament imeanza! Assist? Magoli? au nini? Jana licha ya yeye kutoa assist lakini MOTM kapewa Griezmann, you know why? Performance ya mchezaji ni zaidi ya magoli na assists.Acheni kuangalia mpira LIVESCORE.Lakini mpaka saizi mchezaji wenu kapigwa upper cut zakutosha
Kinachomfanya Mbappe asiwe gumzo ni kukosa promo
Naamini wakisema wa switch yani alivyovifanya Messi kwenye hii michuano viende kwa Mbappe na alivyovifanya Mbappe viende kwa Messi, hakuna namna ambayo Mbappe angejadiliwa katika mtazamo wa ubora zaidi ya ngekewa
Heeeee
Basi inadhihirisha wewe upo upande unaofail. Bakia huko huko. Kama 2018 ulikuwa na Croatia wakafail,this time upo Argentina jua kuwa wanafail pia.Siko upande wenu huo...
Hata 2018 nilikuwa Croatia....
Nawapenda sababu wana Vibe..
Ila WC hii.....Maombi yangu yapo na Messi....