Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Historian ipi wakati Ronadinho alikuwa anakaa benchi ili Messi acheze Ronaldo kaweka wazi haombei Messi achukue kombe kwa sababu atamfikia kwa historia
Hamna mchezaji wa level za Ronaldo anaweza kuchukia mafanikio ya mwenzie kisa atamzidi rekodi. Leta chanzo cha habari kilicho mripoti anaongea hivo. Hizo mentality wanazo kina Mrisho Ngasa na kina Shabalala wa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…