[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watuuuu khaaaaahUfaransa amelowa..amelowa..amenyeshewa na mvua[emoji23][emoji23][emoji23]
WASHATEKENYWA MBUPU SIJUI WATAKUJAJE. FRANCE FANS UWANJANI WAMEPOAAAAAAA KAMA SIJUI NINIWorld cup ya 2014 kama asingeumia Di Maria, walikua wanabeba Argentina. Kocha kajua Di Maria ni injury prone, ndio maana akamtunza kwaajili ya big ocassion!
Kila siku nawaambia humu, usitume wavulana kwenye shughuli ya wanaume. Mbappe hajui anafanya nini uwanjani, watu wanatembea nae kila sehemu. Wahuni wamevunja midfield, wafaransa hawatembei.
Ngoja tuone second half watarudi na mbinu zipi!
Ni kweliKama wamechezewa vibaya unataka wasipewe, mpira unaendeshwa na sheria sio hisia
Saint Anne ndo tuseme umejipiga ban au? Oya mwanangu Scars sjakucheki kabisa asee
Wanacheza vizuri mnooArgentina wanastahili Kutwaa Ubingwa!! Wanacheza vizuri mno
Anasubiria kukabidhiwa team na DeschampsKweli zidane kwenye haya mashindano sijamuona kabisa
We Kenge usilazimishe kila Mtu apende unachopenda, duniani tuko Watu B 8 kasoro M 200, fikiri kwa akili za kuvukia barabara tu kuwa kwanini tusitofautiane upenzi na ushabiki wa timu na wachezaji?Team Ronaldo mnahangaika leo
Hebu niwache🤣🤣🤣🤣Upo wapi nikutoe out.. leo nafuraha sana Messi kafanywa niwe hai.. leo nakupa chochote utachosema 😅😅