Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Daah yani leo France haieleweki fowadi nani beki nani yani hata Mbappe leo amegeuka beki

Kipa wa Argentina unaweza mpelekea hata blanketi akalala kabisa

France leo sijui miguu imepinda maana siyo kwa hizi nafasi wanazokosa
 
Game imewakataa leo, wamekua wazito sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…