Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Vina Ac vitakua hivyo maana si kwa joto la hayo makontena
 
Wee mumeo kazi anayo...hawezi chepuka hii world cup 🀣🀣🀣🀣
Anaweza chepuka tuu akiamua anaweza sema ngoja niende kwa mshakaji tulipangiana dau mechi hii anipe bia kama timu yake itafungwa so lazima tuwe pamoja. πŸ˜€ πŸ˜€ wanaume nyie kwani mnashindwa jambo?
 
Anaweza chepuka tuu akiamua anaweza sema ngoja niende kwa mshakaji tulipangiana dau mechi hii anipe bia kama timu yake itafungwa so lazima tuwe pamoja. πŸ˜€ πŸ˜€ wanaume nyie kwani mnashindwa jambo?
Wee uzuri wako sii unakuwa upo busy na simba yako....leo vipi ihefu anatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…