Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka kwa kuibia sana Dogo....

Niliwaambia....
Messi asilinganishwe na chochote...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatari sana dada

Dogo Mbappe alitaka kutuvua nguo watu wazima eti back to back hizo rekodi nyingine wamuachie Pele tu
 
Miss wao ni mpango wa Weupe ili awe sawa na PELE (ngozi nyeusi) lakini kizuri zaidi duniani hatupangiani Miss wao ataendelea kuwa Miss tu kwa siye tusiozuzuka na mbeleko/Argentina FC [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yani ipangwe, na bado anayecheza naye apewe penati 2? Duh ... Kweli huo ni mpango kabambe.... Kwann wasingeongezewe penati ya pili ili kuwarahisishia?
 

Nafikiri kipindi chetu ni cha baraka zaidi kushuhudia wachezaji bora wakichuana mess and c. Ronaldo, life time opportunity
 
Fainali imezaa goli sita before penalty wewe unasema nini,

Next time ucheze tuone mwaya
 
Hiki ndio kinachotokea pale ambapo unakuwa mchezaji bora lakini wanaokuzunguka ni hovyo. Limemtokea christian ronaldo na limtokea mbape and lendawoski
Hahahah cristiano angekuwa bora angeanza Benchi? Angeigia akakosa nafasi pekee aliyopata baada ya kufichwa sana? Angeruka ruka kwa dakika 60 zote alizoingia???
kaTimu kenyewe Morroco??????
Nigga what?
 
Acheni hizo
Unataka kusema Mungu wa Ufaransa ye hasikii ama
🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…