Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Fainali tamu sana, yani piga nipige [emoji16][emoji16] mpaka wachezaji wanaliadah zipo salama mkuu hii game itatengenezewa documentary nyingi sana[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali tamu sana, yani piga nipige [emoji16][emoji16] mpaka wachezaji wanaliadah zipo salama mkuu hii game itatengenezewa documentary nyingi sana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka kwa kuibia sana Dogo....
Niliwaambia....
Messi asilinganishwe na chochote...
Haya ndiyo magoli sasa achana na yule Miss Penalty [emoji4]Mbappe heko.
Mbappe ni hatari mzeeKbs ni bonge la mechi, salut kwa mbape
Ahahaha,hatariiiiHongereni watu was manzese
Yani ipangwe, na bado anayecheza naye apewe penati 2? Duh ... Kweli huo ni mpango kabambe.... Kwann wasingeongezewe penati ya pili ili kuwarahisishia?Miss wao ni mpango wa Weupe ili awe sawa na PELE (ngozi nyeusi) lakini kizuri zaidi duniani hatupangiani Miss wao ataendelea kuwa Miss tu kwa siye tusiozuzuka na mbeleko/Argentina FC [emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sisi ambao tumebahatika kumshuhudia Messi ni baraka sana kwetu, kipind wajukuu zetu wanamsoma huyu mwamba kweny vitabu na dicumentaries mbalimbali sisi tutawaweka kitako kuwaeleza kiunagaubaga juu ya hiki kiumbe cha ajabu kwenye soka.
No doubt Messi is the GOAT
😅😅😅😅 dah kweli mkuu, dk 85 nikazima tv nika logout na Jf ... nimechungulia hivi ndio naona argentina kashinda ndio nimerudi aseeUnaweza kujinyea pasipo kujua mzee
Kama unajua embu jimwage hapa jukwaani tuoneUnajua maana ya penalty?
Hana UA alien wowote,sema amezungukwa na kikosi kizuri.Messi is kikosi cha Argentina cha kawaida lakini amekibebaMoja ya finali nzuri sana
Mbappe ni allien wa soka
Hahahah cristiano angekuwa bora angeanza Benchi? Angeigia akakosa nafasi pekee aliyopata baada ya kufichwa sana? Angeruka ruka kwa dakika 60 zote alizoingia???Hiki ndio kinachotokea pale ambapo unakuwa mchezaji bora lakini wanaokuzunguka ni hovyo. Limemtokea christian ronaldo na limtokea mbape and lendawoski
Acheni hizoMungu wa Ibrahim, wa Isaka na wa Yakobo. Tulianza na wewe Mungu na tunamaliza nawewe Mungu wetu, usiyeshindwa. Hujawahi shindwa, hishindwi na hutokuja kushindwa kamwe.
Umemfanya Messi kuwa bora na leo kawa bora zaidi. Mungu Baba tunasema asante. 🙏🙏🙏