Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Kile kipindi cha kwanza Argentina washapiga mbili, wakamtoa na Di Kimario nikasema hii game ndio basi tena ishaisha nikataka niendelee na mambo mengine kumbe ndio kwanza kunakucha[emoji16][emoji16]Mkuu pale kila mchezaji anatoa tears of joy dah hii game ina hadhi ya nyota tano[emoji28]
ππΌππΌππΌRisiti ya November 22Mwaka 2010 World Cup iliyofanyika pale South Africa, mechi ya kwanza Spain anakufa 1-0 kwa Uswizi lakini alikuja kutwaa ubingwa.
Somo: Never underestimate Argentina
ni kweli ila ukishaenda penalty ndo basi tenaSCARS kimbia ujionee hapa, Tukayaita Argentina mbeleko FC yanakataa, VAR ni ujinga tupu wala hauna maamuzi yoyote kwa mpango wao wa FIFA [emoji23]
Ndiyomaana Muamuzi wa pembeni alionesha kibendera lakini Refa akajizima data [emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yaani mpira umeniliza leo, sitaki tena haya mamboπ€£π€£π€£π€£nilikuwa nimebinya mambupu hawa kina Messi kidogo wanitoe roho yangu π€€π€€π€€ππππ ilibidi nizime TV nikatoka out na jf
Kwa mbinde[emoji16]Kutoka kwa Di Maria ndo kilitufikisha kwenye penalty....japo tumepita
Nachofurahi ni kuona kila mmoja humu kuna muda alipoteana kwa namna anayoijua yeyeila hana kombeeeeeee........kimbia yote ile kombe kakosaaa....poor him.
kikubwa kombeeee
we si ulisema messi apate vyote ila asishike kombe?
hahahaha
Hii game tutahadithia wajukuu zetu[emoji28]Kile kipindi cha kwanza Argentina washapiga mbili, wakamtoa na Di Kimario nikasema hii game ndio basi tena ishaisha nikataka niendelee na mambo mengine kumbe ndio kwanza kunakucha[emoji16][emoji16]
Haki unaweza anguka kwa pressureπππaseee mpira kumbe kushabikia ndio stress hivi πππ aseee
Hii ndo maana halisi ya neno mpira unadunda[emoji1]Kile kipindi cha kwanza Argentina washapiga mbili, wakamtoa na Di Kimario nikasema hii game ndio basi tena ishaisha nikataka niendelee na mambo mengine kumbe ndio kwanza kunakucha[emoji16][emoji16]
π π π ile furaha yote ilipotea nikapoa kama mgonjwaa, sasa sema upo wapi kwanza tukale rahaaa kupooza machunguYaani mpira umeniliza leo, sitaki tena haya mamboπ€£π€£π€£π€£
Uchezaji bora kwa [emoji238]
wewe mbappe wako amekosa kombeeeππΌππΌππΌRisiti ya November 22