Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Kile kipindi cha kwanza Argentina washapiga mbili, wakamtoa na Di Kimario nikasema hii game ndio basi tena ishaisha nikataka niendelee na mambo mengine kumbe ndio kwanza kunakucha[emoji16][emoji16]Mkuu pale kila mchezaji anatoa tears of joy dah hii game ina hadhi ya nyota tano[emoji28]