Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Asante sana Ndugu, huwa unanifurahisha sana uchambuzi wako mzuri wa soka [emoji120][emoji119]

Ngoja tuone Weupe watampandikiza yupi tena kuvunja rekodi ya Miss penati au ndiyo basi washaridhika kwa kuwa MFALME WA SOKA duniani "PELE" asharushiwa furushi la misumari [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Messi asifananishwe na ujinga wwte tangia Leo , sio Pele wala Maradona wote weka kwenye dustbin
Usiongee ujinga wewe. Huyo Messi unayemuona leo alikuwa inspired na hao malegenderies. Hata darasani kuna 3 bora, kwenye mpira kuna wakwanza mpaka watatu bora. Kila nyanja ya matokeo mazuri 3 bora ni lazima, kombe la dunia jana katafutwa wa tatu bora, sasa ukisema umtoe PELE na MARADONA nyuma ya Messi utawaweka kina nani?
 
Ww ni nan ktk huu ulimwengu???.
Co lazima umkubali ww ila dunia inamtambua kuwa yy ni GOAT
 
Asanteni wote tuliokuwa pamoja hapa kwenye WC 2022...
Nawapenda wote, nimejifunza vitu vipya kwenye mpira. Brazil ilituangusha wengine. Ila leo tunafuraha sababu ya Argentina. Kombe limeenda America kusini ndugu tu na Brazil.

WC 2022 imekuwa ya kustaajabisha, kusisimua, uchungu na furaha...
Timu zote zile hazikujua, zinawasindikiza kileleni Argentina.
Tuliokuwepo WC ya 2014 na 2018
ilikuwa Katavi akichagua tu team, jueni mmeliwa. 🀣🀣🀣🀣
This time ni Scars naona kila alipoenda wameliwa vichwa 🀣🀣🀣🀣🀣
Panapo uzima tukutane WC ijayo...
Messi 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
It was nice sitting next to you Bantu🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…