Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kunywa maji uje uedit ulichoandika hapo
Hongera Argentina na Messi kwa kutwaa kombe la dunia kwa mara ya tatu ila Pele bado atabaki the greatest footballer of the all time kwa kutwaa taji hilo mara tatu kitu ambacho wachezaji wengi wameshindwa.
 
Umesema Mkuu... Mbape na Halland sasa wakaze mafuvu watokee.
 
Kabisa kabisa inatosha sana tuwape nafas wengine sasa
 
Reactions: Tsh
Kila mwanadamu ana haki ya kutoa mawazo ,na we we ndoo mawazo yako
 
Ndiyo wawaige moto wao
Messi na ronaldo wameonyesha
Nidham ya hali ya juu kwenye soka
Ndomana wamedumu kwa kipindi kirefu

Ova
 
Reactions: Tsh
Umesema Mkuu... Mbape na Halland sasa wakaze mafuvu watokee.
Kabisa boss. Wana rekodi ngumu sana za kuzifikia na kuzivunja ingawa naona Mbappe kaanza vizuri. Mara ya mwisho fainali kufungwa hatrick ilikuwa fainali ya muda kidogo na leo kaifikia.
 
Kipepe anawauliza huko tweeter

Okeee Messi kashinda
Haya acc yako imeongezeka sh ngapi?

Haha nachekaaa

Ila hobbies ziheshimiwe tu

Tunapata furaha za ushindi na hatuingizi hata mia mbovu β€˜kwa tusiobet

Alamsiki thread!
 
Majukumu yalikua mengi lkn Final nimeiona na ilikua kweli final ya wanaume kweli.. It was written all over the stars and finally the GREATEST PLAYER OF ALL TIME is a WORLD CHAMPION. [emoji238]

And NEWWWWWWW reigning WORLD CUP CHAMPIONS[emoji1033]

LA ALBICELESTE [emoji1033]

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
King Mbappe is the First hat trick winner in the world cup [emoji123][emoji3059]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…