Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kunywa maji uje uedit ulichoandika hapo
Hongera Argentina na Messi kwa kutwaa kombe la dunia kwa mara ya tatu ila Pele bado atabaki the greatest footballer of the all time kwa kutwaa taji hilo mara tatu kitu ambacho wachezaji wengi wameshindwa.
 
Kipindi cha Messi na CR7 kimeisha sasa na inatosha. Dunia ya Soka ianze kukuza kizazi kipya, tuone damu mpya zikishindania mchezaji bora. Messi na aliyekuwa anampa changamoto yaan CR7 wabaki kwenye historia. Ni wakati wa kuwainua kina Mbappe, Halland na wengineo, Burudani ya soka na iendelee. Ni bahati kuwashuhudia CR7 na Messi wakicheza.
Umesema Mkuu... Mbape na Halland sasa wakaze mafuvu watokee.
 
Kabisa kabisa inatosha sana tuwape nafas wengine sasa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mbappe ni mzuri but is not natural born talent yupo kama Christian Ronald jitihada binafsi ndizo zinamuweka kwenye chati.
Wachezaji wengi wanao acha legacy nzuri kisoka ni wale ambao wanao dribble mpira/kupiga chenga kwa kiasi kikubwa na sio kukimbizana na Mpira.ndio maana gaucho amecheza kipindi kifupi kuliko CR7 lakini ukiwaleta katika mizani watu watamchagua Ronaldinho Richard ya kuwa na tuzo chache kuliko CR7.
Kila mwanadamu ana haki ya kutoa mawazo ,na we we ndoo mawazo yako
 
Kipindi cha Messi na CR7 kimeisha sasa na inatosha. Dunia ya Soka ianze kukuza kizazi kipya, tuone damu mpya zikishindania mchezaji bora. Messi na aliyekuwa anampa changamoto yaan CR7 wabaki kwenye historia. Ni wakati wa kuwainua kina Mbappe, Halland na wengineo, Burudani ya soka na iendelee. Ni bahati kuwashuhudia CR7 na Messi wakicheza.
Ndiyo wawaige moto wao
Messi na ronaldo wameonyesha
Nidham ya hali ya juu kwenye soka
Ndomana wamedumu kwa kipindi kirefu

Ova
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Umesema Mkuu... Mbape na Halland sasa wakaze mafuvu watokee.
Kabisa boss. Wana rekodi ngumu sana za kuzifikia na kuzivunja ingawa naona Mbappe kaanza vizuri. Mara ya mwisho fainali kufungwa hatrick ilikuwa fainali ya muda kidogo na leo kaifikia.
 
Umeongea na Messi lkn au unaropoka ropoka kama kasuku?
Screenshot_20221218-222457.png
 
Kipepe anawauliza huko tweeter

Okeee Messi kashinda
Haya acc yako imeongezeka sh ngapi?

Haha nachekaaa

Ila hobbies ziheshimiwe tu

Tunapata furaha za ushindi na hatuingizi hata mia mbovu ‘kwa tusiobet

Alamsiki thread!
 
Majukumu yalikua mengi lkn Final nimeiona na ilikua kweli final ya wanaume kweli.. It was written all over the stars and finally the GREATEST PLAYER OF ALL TIME is a WORLD CHAMPION. [emoji238]

And NEWWWWWWW reigning WORLD CUP CHAMPIONS[emoji1033]

LA ALBICELESTE [emoji1033]

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
IMG_20221218_215745_660.jpg
 
Yaani kitoto kile hata UEFA hakina ndo akwe tegemezi au mchezaji Bora wa mashindano[emoji23][emoji23][emoji23].

Pale ukiachana na kukimbia sana hamna mchezaji ..Ile 2018 ni uzamni wa malegend kibao ndo kachukua ila kwa kupewa timu bado mshamba hawezi kubeba.
King Mbappe is the First hat trick winner in the world cup [emoji123][emoji3059]
JamiiForums-716845962.jpg
JamiiForums-201325086.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom