Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sawa tumepasuka..

Ila sisi Pro Ronaldo, tumefarijika kwa kiwango chake..

Hatuitakii Argentina mema hata kidogo.
 
✅ Won the 2012 Africa Cup of Nations with Zambia.

✅ Won the 2015 Africa Cup of Nations with Ivory Coast.

✅ Shocks the world with Saudi Arabia against Argentina.

Mr Hervé Renard. 👏🇫🇷
 
Mwaka 2010 World Cup iliyofanyika pale South Africa, mechi ya kwanza Spain anakufa 1-0 kwa Uswizi lakini alikuja kutwaa ubingwa.

Somo: Never underestimate Argentina
Unataka tulete Takwimu za timu zilizopigwa mechi ya kwanza na bado hakuna cha maana walichokifanya?

Argentina ilikuwa mbovu sana siku ya leo. Huo ndiyo ukweli.
 
Mwaka 2010 World Cup iliyofanyika pale South Africa, mechi ya kwanza Spain anakufa 1-0 kwa Uswizi lakini alikuja kutwaa ubingwa.

Somo: Never underestimate Argentina
Wale Spain usiwalinganishe na Argentina mbovu kama hii Yani wew kiungo wak Rodrigo de Paul wezako walikua Wana iniesta,xaivi,cecs wezako beki zao walikua kina puyol wew beki zako kina otamendi wazee wasubir mexico wakunganganie utoke vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…